sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
Vya wazew kama wewe
mimi ndo huwa sipatani navyo kabisa yani huwa nakata gogo huku nimme simama. sivipendi hata kidogosijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
Ndo ujanja wa kujivunia wa wanaume wa Dar au sio!Utazoea tuu mwanaume wa mkoani
huwa nashangaa bar wanaweka choo cha kukaa jamanikwa public si sawa ila nyumbani napendelea cha kukaa nifanye yangu huku natafakari
Kama sio ujanja vaeni majani basi koz hata kuvaa nguo ilianzia mjiniNdo ujanja wa kujivunia wa wanaume wa Dar au sio!
kwa kweli wanakosea.. bar vizuri choo cha kuchuchumaa,, wanatufanya tunakojoa wima wimahuwa nashangaa bar wanaweka choo cha kukaa jamani
kata toilet paper then zungushia juuKwakweli vinachosha sana hasa unapokuta ni vyoo vya public! Siwezi kukalisha kwakeli!
mimi huwa nakojoa chini siku zotekwa kweli wanakosea.. bar vizuri choo cha kuchuchumaa,, wanatufanya tunakojoa wima wima
khee miss jamani hivyo ni mbaya sasa tukiingia huko si tunatembeza mikojo yako bar nzima? uwe unapiga singi bomoa ile ni nzuri ila ujue kikibinua sababu unaweza jikojoleamimi huwa nakojoa chini siku zote
sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
kuna namba hizi mtu akiandika huwa sielewi sijui ni utu uzima wangu ; 24/7 au 0713Vipi Nnya ilikurukia kwenye 0713?
Mana ndiyo tabia ya vile vyoo...