Ulozi unawaita. Msipologwa mkawehuka sio mm. Nimekaa hapoo.Wewe kama mimi hata kurudia ni mara chache sana napenda kupitia mara moja na kutafuta mpya!
Biàshara ya kugeuzwa dingi huwa sihitaki!
😂😂😂👊Piga kazi mkuu badili ladha kadrii uwezavyo
Hivi kipi ni more expensive, kuwa na dem mmoja au kuwa unapiga na kusepa?Utaweza tu kuwa na mmoja pindi utakapo kua hauna kitu mfukoni
Na utazoea tu
Naunga mkono hoja, mi demu nikisha tembea naye mara moja au mbili simtaki tena, anakuwa kesha expire tayari.Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.
Mimi kila nikijaribu kukaa na demu nashindwa wazee, yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananicheki kwa simu. Kila nikipata pisi nasema hii natulia nayo ila nikishaitafuna mara moja tu naipiga chini natafuta ingine siku hiyo hiyo..
Naombeni muongozo wenu wakuu nyie mnawezaje kudumu na manzi mmoja yaani ndo mbususu yako unayoichakata kila siku?..
Kwani ww unawezaje kua na wanawake wengi na hakuna unaemtunza?Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.
Mimi kila nikijaribu kukaa na demu nashindwa wazee, yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananicheki kwa simu. Kila nikipata pisi nasema hii natulia nayo ila nikishaitafuna mara moja tu naipiga chini natafuta ingine siku hiyo hiyo..
Naombeni muongozo wenu wakuu nyie mnawezaje kudumu na manzi mmoja yaani ndo mbususu yako unayoichakata kila siku?..
@Lovelovie mm kwanza muda wakutunza sina.Kwani ww unawezaje kua na wanawake wengi na hakuna unaemtunza?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hao wanaodum na madem wanatoboka sana aisee bora upige nakusepa...Hivi kipi ni more expensive, kuwa na dem mmoja au kuwa unapiga na kusepa?
Haya sawa@Lovelovie mm kwanza muda wakutunza sina.
Unaweza ukawa na mpenzi mmoja na akawa sio mwaminifuMuulize baba yako alivyokaa na mama yako muda mrefu utapata jibu mwanangu. Acha umalaya ukimwi utakuzoa
Na Familia ya Mr Gonorhea itakua inamtembelea nyumbani kwake mara kwa maraTunakusubiria kule JF health.... Ukianza kuuliza viswali "shida itakuwa nini wakuu nahisi maumivu nikikojoa" wazee wa powersafe watamwaga nondo.
Baba na mama yako wanaweza kukupa jibu sahihi wakishindwa wauzlize babi na babu zako kama wewe si mkurya, au mmasai na makabila mengine yanayoa hovyo hovyo.Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.