Bwana misitu
Member
- Aug 1, 2014
- 40
- 97
- Thread starter
- #41
Fanya uweze mkuu demand imekuwa kubwa sana inabidi tusaidiane. [emoji205]Umeniwahi mkuu. Nilikua naandika uzi hapa, kwani mnawezaje kuwa na madem wengi. Mbona mm siwezi?
Fanya uweze mkuu demand imekuwa kubwa sana inabidi tusaidiane. [emoji205]Umeniwahi mkuu. Nilikua naandika uzi hapa, kwani mnawezaje kuwa na madem wengi. Mbona mm siwezi?
Aah kule jau...kavipi kanitangazie nafasi[emoji23]nenda chit chat kuna uzi maalum kule, katangaze nafasi... [emoji23]
mimi sina ushawishi 😂Aah kule jau...kavipi kanitangazie nafasi[emoji23]
1. Aiseee ww ni noma, unatumia kinga au kupima HIVI kabla ya kuonana na wapenzi wako? SINA UHAKIKA na hilo kama unazingatia kwa tabia unayofanya..Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu hv mnawezaje kukaa na dem mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.
Mimi kila nikijaribu kukaa na dem nashindwa wazee yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananichek kwa simu. Kila nikipata pisi nasema hii natulia nayo ila nikishaitafuna mara moja tu naipiga chini natafuta ingine siku hyo hyo..
Naombeni muongozo wenu wakuu nyie mnawezaje kudumu na manzi mmoja yani ndo mbususu yako unayoichakata kila siku?..
Basi nipasie hata huyo wa kwako[emoji51]mimi sina ushawishi [emoji23]
aisee sina 😂Basi nipasie hata huyo wa kwako[emoji51]
unapone wapi sasa au chaputa fc[emoji23]aisee sina [emoji23]
ni stori ndefu mno 😂unapone wapi sasa au chaputa fc[emoji23]
Kwamba miaka miwili ni mingi sana?Tatizo tuliotaka kutulia nao walituukiza au walitukataa...hapo kutulia na mmoja ngumu sana. Mimi huwa nashangaa sana eti mtu kakaa kwenye mahusiano na mwanamke sijui mwaka, miaka miwili.
Pole sana...force kwa lovie uenda ukabahatika[emoji119]ni stori ndefu mno [emoji23]
bahati kitu cha ajabu sana 😪Pole sana...force kwa lovie uenda ukabahatika[emoji119]
kivipi[emoji848]bahati kitu cha ajabu sana [emoji25]
uwezekano wa kukataliwa hua ni 90% 😂kivipi[emoji848]
Duuh siku hizi...ukiimbisha unapigwa cha kichwa wewe muite fanya kumshika shika...make a sexual jokes mwisho unakula mzigo simple tu[emoji81]uwezekano wa kukataliwa hua ni 90% [emoji23]