Mnawezaje kudumu na hawa ndugu zetu?

Mnawezaje kudumu na hawa ndugu zetu?

Mkuu unataka kutuambia kwenye maisha yako wanawake ni miongoni mwa disposable material??? yaani unawatumia mara moja tu kama pakiti ya condom???....nimeuliza tu, sina mafungamano na upande wowote,
Sijui kwakweli ila nikisha jamiiana nae sitaki hata kumuona hata awe mzuri kama chakula huwa ham nae inaisha hapo hapo
 
kesi yako nzito,upate ushauri wa daktari,ila mimi wangu nadumu nae,sabab nimejua kumdhibiti kiakili na kimwili,haniishi hamu,na ananijua nikikasirika lazma atulize akili,kuna wakat mimi ndo nakosea ila nakuwa mbabe na yeye ananywea,na nimeamua kukaa nae nisije nikamuumiza moyo wake kama nilivyofanya kwa aliyepita,
Hongera sana ila nadhani una moyo wakipekee umekaa nae mda gani? Inazidi wiki?? Unamoyo aisee
 
Tatizo sio kukua tatizo ni kuishiwa na ham yakuwa na mtu mda mrefu namchoka kabisaaaa.....
Unaweza kuwa na shida ya kisaikolojia, kawaone wataalamu.

Kuna watu wanaishi na wenza wao, wanakwazana kwa mengi lakini mtu anakwambia Siwezi kumuacha, wewe utakuwa na shida mahali.
 
Mmmh ngoja wanasaikolojia waje
 
Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume wenzangu mnaweza kudumu na wanawake kwenye mahusiano kwa mda mrefu!!!

Mnawezaje kuhimili kero za kila kukicha na mnawezaje kuishi nae asikuishe hamu kwa miaka kadhaa au ndo wengine huapia mpaka kifo. Mimi upande wangu nikishapewa tu vile via vya uz...zi baasi sitomrudia tena huyo mtu ananiisha ham kabisa na staki hata kumtia machoni sjawahi kuwa na uhusiani wa mda mrefu zaidi ya siku nne.

Mnawezaje wanaume wenzangu???[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Acha bangi mjinga we unatufanya sisi vilaza?
 
Unahitaji maombi
 
Hujawahi kujiuliza kuwa pengine unakutana na wanawake wa type yako. Yani wanaoishiwa hamu na wewe in 4 days. (Kama tu unavowaza wewe ndo wao wanawaza hivo hivo). Na Kwa maelezo yako u don't seem to be bothered, u seem to enjoy it. Well we can not all be lucky(love $ be loved) some of us are just in this world to witness other people living lovely.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We muongo sana na hadithi zako za kutunga. Mara mke wangu mnene anakula kilo2 za kitimoto, ana kilo 110 tumezaa nae watoto2. Hao watoto wawili ulizaa nao siku 4. Jinga sana kutuona watoto wenzako

Lol kumbe linatuinjoy tu hpa!!!nyegere mkubwa!!!
 
Habari wana jamvi. Nimekua nikishangaa kila siku katika haya maisha kuanzia nmekua na akili yakuwatamani hawa wanawake. Nina zaidi ya miaka 35 lakini nimebakia kuwa mshangaaji inakuaje wanaume wenzangu mnaweza kudumu na wanawake kwenye mahusiano kwa mda mrefu!!!

Mnawezaje kuhimili kero za kila kukicha na mnawezaje kuishi nae asikuishe hamu kwa miaka kadhaa au ndo wengine huapia mpaka kifo. Mimi upande wangu nikishapewa tu vile via vya uz...zi baasi sitomrudia tena huyo mtu ananiisha ham kabisa na staki hata kumtia machoni sjawahi kuwa na uhusiani wa mda mrefu zaidi ya siku nne.

Mnawezaje wanaume wenzangu???[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Kwa nini unafikiri wanawake wote ni sawa?
 
Back
Top Bottom