Nakumbumbuka kama wiki tatu au nne zilizopita niliomba ushauri baada ya rafiki yangu kuniambia anaweza kuniuzia samsung tab 2 kwa laki nne, nashukuru wote walionishauri, sasa rafiki yangu amenitumia simu, na baada ya kuikagua nimekutana na kitu hiki,
model number GT-P1000
Firmware - 2.2
kernel version 2.6.32.9
Je kweli inaworth laki nne yangu au nimrudishie tu jamaa???
model number GT-P1000
Firmware - 2.2
kernel version 2.6.32.9
Je kweli inaworth laki nne yangu au nimrudishie tu jamaa???