Mnawakumbuka HAWA, Nani huyoo mwenye AFRO?

Mnawakumbuka HAWA, Nani huyoo mwenye AFRO?

Sio Joe Fraiser kweli?

Mimi sijui una miaka mingapi? lakini Jim kelly hakuna asiye mjua kwa vijana wa zamani na Mod Ally (Clay jina la awali) kila mtu anamfahamu Picha za Jim Kelly zilikuwa nzuri sana na Mod Alli yeye sio actor wa picha lakini shughuli yake hakuna asiyemfahamu. Hii ni kwa vijana wa zamani tu.Na kumbi zet za sinema zilikuwa (Empire, Avaron, Empress na nyingine nyingi jumla 11)
 
Back
Top Bottom