Mnavyo danganywa na waliooa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnavyo danganywa na waliooa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Inkoskaz, Oct 18, 2012.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  I don’t love my wife.

  We are going through a hard time and I will soon be separating. That’s a LIE. Men don’t advertise leaving home to the other woman. If they are really in a bad relationship, most of them just find a place to go and leave. This is the type of conversation they have with their wives, but this is the line where they get you hooked, because you do believe that this is going to happen. Warning: Don’t believe it. If he means it, wait until he actually does it and then start dating him.

  I am sleeping in another room.LIE. Again, most men do have a place to go if they decide to leave. Don’t fall for it.
  I’m not with you for the sex.LIE. Remember men think differently. They seek sex and they fall in love out of sex. Women are different. Women crave attention and someone who will treat them well. They know this. You will get treated like no one has treated you before….but you will pay a high price for it.

  It’s complicated.There are a lot of things we need to figure out financially. LIE. What he means is that he can’t leave her or doesn’t want to leave her because there is a lot at stake money wise. I will be leaving her in… (fill in the blank)LIE. This is usually the lie they use when you are pulling away. Again, if he wanted to leave her, he would have done it a long time ago. He doesn’t have to wait for a certain date to pass. The pain he will cause his family it’s the same in January as it will be in September. Before a birthday or after one. Don’t fall for it. You will just keep getting emotionally involved.

  And the winner of them all:
  I’m only in the marriage for the kids.LIE. Although kids are an important fact to any parent, men who really leave their wives rarely take kids into account. Most of them are barely home. So it really wouldn’tt make a difference if they see them every weekend. They use their children as an excuse.
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani bachelors wamekwisha hadi nimdate married guy? Hawanipi mzuka.
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Umenichekesha hiyo ya 'for the kids' wakati wanarudi nyumbani kamanda Barlow time (saa nane tisa) na wanaondoka saa kumi na moja. Hao watoto watawamis vipi kama watahamia kwa kimada wakati they are used to their absence?

  Kurudi kwenye mada...hivi unadhani wanaodate married men hawajuhi kuwa wanadanganywa...? Wanakuwa wanataka kama si mkunaji basi ku chop money...mi huwezi ni convince eti nimedanganywa wakati wewe si teenager.
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahhahahah
  "I will be leaving her and fill the blank", hii kweli utumika sana kama njia ya sizitaki mbichi hizi!

  "Am not with for the sex" huu pia ni uongo ambao utumika mara nyingi sana.
  Daaaaah hapa kuna mambo ya ukweli mengi
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Baby daddy liar, still a liar!
   
 6. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ushauri mzuri sana for the ladies
   
 7. andate

  andate JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hapo umesema kweli. Yaani mimi ni married,ugly na kapuku na ninajua kudanganya ile mbaya lakini hawanikubali hata kidogo, wanasema nina mke na nina tabia mbaya nataka kum-cheat mke wangu.. Lakini rafiki yangu ni married na hajui hata kudanganya(sema anahela), kwake wanajiachia hadi mwisho na hawahoji kuhusu kuwa ana mke.
   
 8. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  mmh! na alie kwenye uhusiano je (but unmarried) !!!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Women lie, men lie
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukitazama mapenzi kama
  exchange of things,material or not
  utaona kuwa its all about what you offer
  na sio kuwa kuna anaedanganywa
   
 11. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahaha, when money speaks the truth is silent.
   
 12. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Honestly, kum-date mume wa mtu ni wastage of time unless mtu upo kimaslah zaidi either financially or kimatamanio ya mwili...ni very very rare mume wa mtu kuja kuwa mume wa mwingine labda km ni ndoa ya kiislam. Sana sana mume wa mtu huyu atakufanya tulizo tu la matatizo yake ya nyumbani..
   
 13. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hongera zako mwaya...!!!wengine wanaona mzuka hatari cz eti hawana stress!!!!mie dating married men ni last optn pia cz nkifikiria tu hapa ni kwa maslahi ya mwili zaidi nachoka maana wengine ni waongo haswa utahongwa mwanzoni thn baadae ni kero khaaa!!!ya nini hayo yote?? thn mwisho wa siku imekula kwangu bora nijibakie zangu mwenyewe tu!!!!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  heheheeeeeeeeeeeeeeeeee yaani umesema ukweli mtuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuupu!!!!:shock:

  halafu mwanamke anakukubali miaka inaenda anasubiri umwache mkeo hihihihihhi wanawake wengine kama wamerogwa ubongo aiiiiiiiiiiii
   
 15. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Ciello!sometymes it happens,although not intentionally,then unapata maneno hayo matamu
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio nini kutuumbua kiasi jamani? si mwataka tukalie wapi sasa? Acheni mada zenu za kiuchochezi mtatuvunjia nyumba jamani au hamjui kuwa Nyumba kubwa hujengwa na Ndogo? Yaani bila nyumba ndogo lazima kubwa ianguke. Hahahaaaaa subiri nikaswali kwanza ibada ya leo muhimu sana
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Don William ktk Lay down beside me........
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Umeongea la msingi... Na kuna lingine pia watu wengine hushindwa kutambua na wala haitakiwi wawaonee huruma... Kuna wanawake starehe yake adanganywe... ANAJUA fika kuwa anadanganywa, ila sababu ana amani na furaha wakati huo kwake yeye inamtosha kabisa! Lol
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unakuta mme wa mtu, na mtoto wa mtu, wote wa watu

  Why waste resources while we can share???

  Mwisho wa siku, wote tunafika Mawenzi tu
   
 20. M

  Mtokambali Senior Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tamaa ndo inawaponza wanawake wengi. Ila pia usiombe ukutane na mwanaume fundi wa kutunga uongo...atakushawishi utamuamini hadi utamtambulisha kwa wazazi,kuumbe main intention ni kukuvua nguo,akizidi saaana na ukijilegeza ni kukuzalisha ili ajisifie kwa rafiki zake kwa ushahidi wa wazi kwamba ametembea na wewe! Then unaachiwa zigo la kukaa unamdandia yeye akulelee mtoto,huku anachezea feelings zako balaa...ukiwa mjinga ndo kaishakuvurugia uelekeo wako milele!!

   
Loading...