Mnavyo danganywa na waliooa

Umenichekesha hiyo ya 'for the kids' wakati wanarudi nyumbani kamanda Barlow time (saa nane tisa) na wanaondoka saa kumi na moja. Hao watoto watawamis vipi kama watahamia kwa kimada wakati they are used to their absence?

Kurudi kwenye mada...hivi unadhani wanaodate married men hawajuhi kuwa wanadanganywa...? Wanakuwa wanataka kama si mkunaji basi ku chop money...mi huwezi ni convince eti nimedanganywa wakati wewe si teenager.

Basi tu watu wengine hujitoa sijui ufahamu ,wakati anaanza kutongozwa na mume wa mtu anadanganywa kabisa yaani hapa nilipo nina mda mrefu kweli sijafanya mapenzi mana sina hamu kabisa na wife wangu kwanza amekuwa mnene sana ,anakiburi ,kila mara namkuta amenuna ,yani nina stress mpaka kazini wananishangaa,binti anaingia mkengee huyooooooo,muda si mrefu unashangaa mke wa jamaa ni mjamzito sasa cjui hiyo mimba inakuwa imeingia kwa njia ya bluetooth .

Mbaya zaidi hawajui kwamba wanapotezewa muda ,at the time anakuja kushtuka muda umeenda anatafuta wa kumuoa hamna ,anakuwa na mastress kuanzia kwny kichwa mpaka miguuni ,na mume wa mtu kasharudi kwa mkewe au kashatafuta kimada mwingine.
 
Hapo umesema kweli. Yaani mimi ni married,ugly na kapuku na ninajua kudanganya ile mbaya lakini hawanikubali hata kidogo, wanasema nina mke na nina tabia mbaya nataka kum-cheat mke wangu.. Lakini rafiki yangu ni married na hajui hata kudanganya(sema anahela), kwake wanajiachia hadi mwisho na hawahoji kuhusu kuwa ana mke.

Ha ha ha! You made my day.
Well said nyumba kubwa, hicho ndicho nimekuwa nikikisema siku zote; OW know what they are doing na wala si victim. Hivyo kuseek sympathy from them (kiJoleen Joleen) ni wastage of time.
 
Last edited by a moderator:
Ciello!sometymes it happens,although not intentionally,then unapata maneno hayo matamu

Yanakuwa maneno matamu kwakuwa mtu anakuwa yupo fed up na mahusiano ambayo ameshapitia kwahiyo anajipa moyo kuwa 'huyu mume wa mtu hatonipa stress' ila inreality ni mlaghai na time waster..maana anajisevia tu bureeeee..
 
Nimependa hiyo ya bluetooth...Lol.

Watu wajinga kweli mtu anakwambia ooh mimi na mke wangu hatulali chumba kimoja...how can you prove that???? Oooh tuna ugomvi...sasa wewe padri si umwambie aende kwa padri au mshenga kuliko kujifanya wewe suluhu ya matatizo ya ndoa za watu.

Na kama ulivyosema wakijashtuka wameishia kutumiwa kwa muda...umri umesonga weshakuwa vikongwe na CV chafu maana hakuna siri atiii...nani aoe kimada professional...

[/COLOR]
Basi tu watu wengine hujitoa sijui ufahamu ,wakati anaanza kutongozwa na mume wa mtu anadanganywa kabisa yaani hapa nilipo nina mda mrefu kweli sijafanya mapenzi mana sina hamu kabisa na wife wangu kwanza amekuwa mnene sana ,anakiburi ,kila mara namkuta amenuna ,yani nina stress mpaka kazini wananishangaa,binti anaingia mkengee huyooooooo,muda si mrefu unashangaa mke wa jamaa ni mjamzito sasa cjui hiyo mimba inakuwa imeingia kwa njia ya bluetooth .

Mbaya zaidi hawajui kwamba wanapotezewa muda ,at the time anakuja kushtuka muda umeenda anatafuta wa kumuoa hamna ,anakuwa na mastress kuanzia kwny kichwa mpaka miguuni ,na mume wa mtu kasharudi kwa mkewe au kashatafuta kimada mwingine.
 
Umenichekesha ulivyosema ki joleen joleen...una refer kwenye country nini????

Ha ha ha! You made my day.
Well said nyumba kubwa, hicho ndicho nimekuwa nikikisema siku zote; OW know what they are doing na wala si victim. Hivyo kuseek sympathy from them (kiJoleen Joleen) ni wastage of time.
 
Hata siku hizi hawawapondi wake zao... Wanasema kabisa kuwa wanataka mapumziko tu and dont expect anything...
 
Labda strategy inatumika kutokana na mwanaume alivyomsoma huyo kimada to be...kuna mdada unaona kabisa kadata...hiyo hata akiambiwa ukweli haitakuwa kikwazo kumpata. na mara nyingi ni wale wanaojua fika huyu ni fulani (papaa wa mujini) na ana mke; hapo hakuna haja ya kudanganya.

Kwa zile targets ngumu nadhani ndio uongo unatumika...may be; ngoja waje wenyewe watushuhudie..

Hata siku hizi hawawapondi wake zao... Wanasema kabisa kuwa wanataka mapumziko tu and dont expect anything...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom