nakumbuka siku moja (dsm) nilikuwa nafanya paper then upande wa kushoto aliingia mdada mmoja ambaye alivaa kimini kitambaa chepesi sana, wakati anaelekea kukaa wa2 wnegi walikuwa wanamwangalia ikiwa pamjo na mimi. kwa kuwa mimi nilikuwa karibu zaidi niliona zaidi, kufuli whiiiiiiite.
shori bila wasiwasi alifanya kama ananikonyeza ivi, then mie nikasimile. kwa kuwa nilikuwa na ukame sana (mchumba wangu alikuwa songea) nikuwa kama nimedumaa ivi kiakili kama dk15 ivi, akili imehama kabisa.
then the moment nilipata akili kuwa hii ni paper yangu ya mwisho, then nilikoncetrate kwenye paper 100%.
Wanafunzi, ni lazima wachague na kuaamua.
ayo mambo yapo adi kazini/mitaani, kuna baadhi ya ofisi/mitaa kazi aziendi kwa sababu ALAJA nyingi sana kila kona.
kama we ni kijana funza mwanao angali mbichi.