Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Maffada

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
63
Reaction score
72
Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako!

Inaweza Nini?

Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:


  • Unauza bidhaa
  • Unaweka madeni na mikopo
  • Unajua faida yako muda huo huo
  • Unachapisha risiti
  • Unajua nani anakudai na unamkudai nani
  • Unapata ripoti safi kama benki

Ni kwa Ajili ya Nani?

Kama unamiliki duka, salon, hardware, stationery, au biashara yoyote ya mauzo – hii ndio GAVANA wako.
Haina longolongo – Windows laptop/desktop yako tu, unaanza kazi.


Vitu Inafanya (Kwa Lugha Rahisi)
  • Unauza bidhaa – kwa pesa au deni
  • Ukishauza kwa deni, unaweka jina na namba ya mteja
  • Bei ya kuuza haikubali iwe chini ya bei ya kununua
  • Unaweza kuweka bidhaa mpya na bei zake kwa urahisi
  • Ukiuza sana bidhaa fulani, unaona kwenye chati moja kwa moja
  • Unaweza kupanga malengo ya biashara (mfano: nataka faida ya laki 5 kabla ya mwisho wa mwezi)
  • Kila risiti au invoice unaweza kuchapisha
  • Kuna sehemu ya losses – kama bidhaa imeharibika, imeibwa au ime-expire, unaweka pale
  • Ukiwa na bidhaa 10, na 8 zimeuzwa, system inaonyesha asilimia yake

Notifications


Ukibakiza bidhaa chache sana, unapata arifa moja kwa moja – haikubali uishe bidhaa bila kujua.


Risiti

Wakati wa kuuza, unaweza kuchagua:


  • Risiti
  • Invoice

Zinakuja zikiwa smart na unaweza kuzitumia hata TRA wakikupitia.

Je Unaweza…


  • Kubadili bei kulingana na soko? Ndiyo
  • Kuuza kwa jumla? Ndiyo
  • Kuweka discount ya promo? Ndiyo
  • Kuexport database kama backup? Ndiyo
  • Kuchapisha bidhaa zote? Ndiyo

1.PNG


Siku 7 Bure


Ukifunga kwa mara ya kwanza, unapata wiki moja ya bure kabisa.
Baada ya hapo, system inakutaka ulipe kupitia PayPal ili uendelee kutumia – bei ni ndogo.


Bei

Tsh 8,000 tu kwa mwezi (au $3.20 USD)
Hamlazimishi – lakini ukichelewa kulipia, features zinajifunga hadi ulipie tena. Data zako hazifutwi.
Annotation 2025-09-13 141140.png


Installation
  • Una run installer
  • Inajisakinisha yenyewe
  • Ikimaliza, mafaili ya setup yanaondoka – usafi unadumu

Usalama wa Hali ya Juu


  • Haina matangazo
  • Haina spyware
  • Data zako zipo kwenye laptop yako tu
  • Mtandao unahitajika tu kwa update na malipo
Annotation 2025-09-13 140927.png

Mfano unaonyesha madeni na kiasi unacho dai, pia inakuonesha hesabu ya mwisho baada ya matumizi na ulinganisho kati ya kipato na matumizi. Unaweza kuweka malengo yako, na program itakuonesha mwenendo wa malengo kama hayajatimia au yanatimia ndani ya muda.


Ni hayo tu. Program hiyo jaribu na utaniambia. Gavana Edge
 

Attachments

  • 9.png
    9.png
    42.7 KB · Views: 34
  • 8.png
    8.png
    94.1 KB · Views: 32
  • 2.png
    2.png
    72.2 KB · Views: 30
  • Annotation 2025-08-28 191538.png
    Annotation 2025-08-28 191538.png
    76.8 KB · Views: 24
Duh hii naitumia mpaka leo sijawahi kujuta kila kitu kinakuwa automatic na nasikia tpleo la Gen 1c limekalibia kutoka ambapo unaweza ku track brach zaidi ya 10,000 pia unaweza kuona bidhaa gani inauzika zaidi mfano wewe ni muuzaji wa nguo itakuonesha brand ya nguo inayo trend zaidi kwa wakati huo na inakuonesha mpaka maeneo ya biashara hii ni advanced zaidi
 
Bila kuchelewa niliona isiwe shida sasa na nipo na customize risiti kwa kiasi flan naona hii itanifaa sana nitaleta mrejesho hivi punde ngoja kwanza niizoee
Annotation 2025-08-04 195847.png
 
ndio kabisa unaweza kutengeneza risit unavyotaka na ukaweka makato fake mfano
risit.png
hapo inachokifanya ukiuza kwa risiti inaweka kumbu kumbu na hesabu ili ikitokea wamekuja kukudai unawaonesha kiasi ulichopata kutokana na risiti ili kuepuka utapeli wa TRA na unaweze kuwapiga kimya ila mteja
 
Back
Top Bottom