Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako!
Inaweza Nini?
Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:
Ni kwa Ajili ya Nani?
Kama unamiliki duka, salon, hardware, stationery, au biashara yoyote ya mauzo – hii ndio GAVANA wako.
Haina longolongo – Windows laptop/desktop yako tu, unaanza kazi.
Vitu Inafanya (Kwa Lugha Rahisi)
Notifications
Ukibakiza bidhaa chache sana, unapata arifa moja kwa moja – haikubali uishe bidhaa bila kujua.
Risiti
Wakati wa kuuza, unaweza kuchagua:
Zinakuja zikiwa smart na unaweza kuzitumia hata TRA wakikupitia.
Je Unaweza…
Siku 7 Bure
Ukifunga kwa mara ya kwanza, unapata wiki moja ya bure kabisa.
Baada ya hapo, system inakutaka ulipe kupitia PayPal ili uendelee kutumia – bei ni ndogo.
Bei
Tsh 8,000 tu kwa mwezi (au $3.20 USD)
Hamlazimishi – lakini ukichelewa kulipia, features zinajifunga hadi ulipie tena. Data zako hazifutwi.
Installation
Usalama wa Hali ya Juu
Mfano unaonyesha madeni na kiasi unacho dai, pia inakuonesha hesabu ya mwisho baada ya matumizi na ulinganisho kati ya kipato na matumizi. Unaweza kuweka malengo yako, na program itakuonesha mwenendo wa malengo kama hayajatimia au yanatimia ndani ya muda.
Ni hayo tu. Program hiyo jaribu na utaniambia. Gavana Edge
Inaweza Nini?
Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:
- Unauza bidhaa
- Unaweka madeni na mikopo
- Unajua faida yako muda huo huo
- Unachapisha risiti
- Unajua nani anakudai na unamkudai nani
- Unapata ripoti safi kama benki
Ni kwa Ajili ya Nani?
Kama unamiliki duka, salon, hardware, stationery, au biashara yoyote ya mauzo – hii ndio GAVANA wako.
Haina longolongo – Windows laptop/desktop yako tu, unaanza kazi.
Vitu Inafanya (Kwa Lugha Rahisi)
- Unauza bidhaa – kwa pesa au deni
- Ukishauza kwa deni, unaweka jina na namba ya mteja
- Bei ya kuuza haikubali iwe chini ya bei ya kununua
- Unaweza kuweka bidhaa mpya na bei zake kwa urahisi
- Ukiuza sana bidhaa fulani, unaona kwenye chati moja kwa moja
- Unaweza kupanga malengo ya biashara (mfano: nataka faida ya laki 5 kabla ya mwisho wa mwezi)
- Kila risiti au invoice unaweza kuchapisha
- Kuna sehemu ya losses – kama bidhaa imeharibika, imeibwa au ime-expire, unaweka pale
- Ukiwa na bidhaa 10, na 8 zimeuzwa, system inaonyesha asilimia yake
Notifications
Ukibakiza bidhaa chache sana, unapata arifa moja kwa moja – haikubali uishe bidhaa bila kujua.
Risiti
Wakati wa kuuza, unaweza kuchagua:
- Risiti
- Invoice
Zinakuja zikiwa smart na unaweza kuzitumia hata TRA wakikupitia.
Je Unaweza…
- Kubadili bei kulingana na soko? Ndiyo
- Kuuza kwa jumla? Ndiyo
- Kuweka discount ya promo? Ndiyo
- Kuexport database kama backup? Ndiyo
- Kuchapisha bidhaa zote? Ndiyo
Siku 7 Bure
Ukifunga kwa mara ya kwanza, unapata wiki moja ya bure kabisa.
Baada ya hapo, system inakutaka ulipe kupitia PayPal ili uendelee kutumia – bei ni ndogo.
Bei
Tsh 8,000 tu kwa mwezi (au $3.20 USD)
Hamlazimishi – lakini ukichelewa kulipia, features zinajifunga hadi ulipie tena. Data zako hazifutwi.
Installation
- Una run installer
- Inajisakinisha yenyewe
- Ikimaliza, mafaili ya setup yanaondoka – usafi unadumu
Usalama wa Hali ya Juu
- Haina matangazo
- Haina spyware
- Data zako zipo kwenye laptop yako tu
- Mtandao unahitajika tu kwa update na malipo