Tatizo ni kuwa
Wahuni wamezoea ukweli kama ule wa TBC - kupindisha ukweli, propaganda, uongo, uzushi na hadaa..
Sasa wakikutana na vyombo vyenye weledi ambavyo havipokei rushwa zao wala hawawezi kutishia na kuteka waandishi wao, wanabaki kulia lia tu