Mnatakaga kujua nini wanaume?

Mnatakaga kujua nini wanaume?

Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
Tunachotaka kujua...
20250801_172011.jpg
 
Hapo mtu anataka kujua Road Traffic Records yaani Gari hii imekamatwa mara ngapi?
Ilishawahi kudaiwa faini?
Ilishawahi kulazwa kituo cha polisi?

Kabla ya kuuliza, jiulize kama wewe ni dereva mwenye leseni ya uhakika au ni bodaboda wanaopitaga zao tu.

šŸ˜‚šŸ˜‚|
 
Uzuri hilo swali jibu lake huwa ni costant.....we ni wa 2 ukienda saana wa 3. Jibu haliwi nje ya hapo
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Aliyekutoa bikra
Aliyekuacha kwa maumivu ila ulimfanyia kila kitu.
Na yeye uliye nae kwenye mapenzi, huku umri miaka 32
 
Ficha vyote kwa mwanaume ila sio idadi ya wanaume uliotembea nao au watoto uliotoa au kujifungua.

Kwa maana akiendelea kuishi na wewe atahesabu kama ulimwambia ni mwanaume m'moja tu then atauliza jina amjue ili aone kama bado mna mawasiliano. Sasa ole wako akute una mawasiliano ya mashaka na wengine hapo ndipo kimya kimya anakubadilikia.

Akigundua kuwa kuna wanaume haukumwambia tegemea kuachwa. So bora umwambie ukweli ili yeye achague kuishi na wewe au asepe mapema sana kuwapa nafasi wengine.

Yote kwa yote. X m'moja tutasema ulikuwa haujui kitu ni usichana. X wa pili tutasema ulikuwa unajifunza baada ya kufanya makosa mara ya kwanza. X wa tatu, bila ubishi wewe unafanya umalaya. Wanaume watatu shimo moja?

Unajua hata thamani ya mwili wako wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom