Mnatakaga kujua nini wanaume?

Mnatakaga kujua nini wanaume?

Hata gari used wajep wanatuambia imetembea km ngapi, sembuse wewe tambala la deki
 
Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
The history ya pango lako tunataka kujua nyoka wangapi walikaa humo pangoni .... mi ni nyoka wa urefu wangu kidole masikini sina hatia nyoka wa watu.....

kumbe pango lako walikuwa wanalala kina anaconda kina sijui machatu.... sasa mimi kanyoka kadogo nitaweza kukaaa kwenye pango la kina anaconda kweli ...bora nitafute tu kashimo kengine sio pango ...nitawezea wapi kushindana na kina anaconda....
 
Kuna wengine hata watumike vipi vipochi vinabaki ngamgari hivyo kubaini ni ngumu
Kuna binti mmoja alishapitiwa na jamaa kama 11 nilipokutana nae wala sikuuliza kitu ila nikajisemea tu nimeokota dodo kitu safi huwezi kuamini. Ikaja ikatokea sintofahamu flani siku moja nilimfuma na jamaa ndo kwenye kumbana kujitetea si akaanza kuzungumzia past zake ili sijui nimuonee huruma asee nikaja kujua mie ni wa 12 na huyo jamaa nilomkuta nae washatoa mimba mbili na huko nyuma alishatoaga moja na mwingine mmoja wapo, kilichoniuma zaidi ni kwamba hao njemba 11 wote sio wale wa hit and Run yani ni wamekaa mahusiano ya zaidi ya mwaka pika pakua asee kuna mabinti wana K nzuri huwezi kujua bila kuuliza..
 
Ndiyo hivyo mkuu, kuna watu wana maumbile mazuri hata watumike vipi yanajirudi, ukipata nafasi tumia usitake kujua waliopita yatakuumiza bure tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom