Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,734
Tunataka kujua imetumika kilometa ngapi
Unajulikana tu baada ya muda.Sasa nikikudanganya utajuaje?
Utatumia njia gani kujuaUnajulikana tu baada ya muda.
TabiaUtatumia njia gani kujua
Inabana an sio 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗Huwezi kujua, kuna wengine wana maumbile mazuri
Kuna wengine hata watumike vipi vipochi vinabaki ngamgari hivyo kubaini ni ngumuTabia
Kipochi manyoya nacho kinajielezea
Unanunuaje gari used usijue odometer inasomajeUkianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
Wengine walio nje ya nchi😂😂Inabana an sio 😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Hao wengine ndo kina nani nambie chap plz
Mwanaume anayeuliza hivyo ni wa Hovyo kabisa, sharti ni kumuacha hapohapo.Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
Mmmh acha bana wa hapa hapa na wewe mbona hvo 🤗🤗🤗🤗Wengine walio nje ya nchi😂😂
Gari imetembea kilomita ngapi!!Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
Hilo swali msiwe mnauliza linatukumbusha machungu🥲😂😂Mmmh acha bana wa hapa hapa na wewe mbona hvo 🤗🤗🤗🤗