Usije ukalinganisha mazingira tunayoishi na mazingira hayo hapo. Huku kwetu barabara tena za vijijini, hiyo bajaj sijui inambebea wapi huyo mama mwenye uchungu. Sijaongelea vumbi atakalooga!
Kuishi kwenye bajaj hiyo inabidi ukubaliane na mbu na vibaka! Manake hata bustani za manispaa hamna ulinzi! Hilo joto la dsm sasa, inabidi ufunge ka-pangaboi sijui?
i can see you trying to justify jk's bajaj stupidity from afar but the fella above has put you in your place
Itaposhindwa bajaji ujuwe hata gari kuna kazi.
Something is better than nothing.
![]()
We need the better
We want the better
We should get better
Kuna tangazo la twaweza nadhani. Wanakijiji wanasema 'naskia hilo gari ni kama madarasa 10, yaani mtu mmoja anatembea na madarasa kumi jamani!'
Kama something is better than nothing, mbona rais asitembelee bajaj basi? Lugha za kutupaka mafuta na mgongo wa chupa hazitufai tena wangu!
Nawasikitikia Watanzania wanapoletewa suluhisho la ubunifu, rahisi na la haraka wanapoliponda. Tazamaeni wenzenu, hivyo hivyo vibajaji wanavifanya nyumba za kuishi:
![]()
Semeni.
Huo ni ubishi wa kitoto. Practicality, kuwa mkweli wa nafasi yako kwanza, kabla ya Kikwete kuja na vibajaji kulikuwa kuna kipi?
Hivi zomba una miaka mingapi labda kwa mfano???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
on tarmac roads and not dusty potholed roads of ours in rural areas
Huo ni ubishi wa kitoto. Practicality, kuwa mkweli wa nafasi yako kwanza, kabla ya Kikwete kuja na vibajaji kulikuwa kuna kipi?
Unaandikia mate na wino upo:
![]()