mwanaharakatihalisi1
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 107
- 25
Nikiiangazia kuanzia pembe ya Africa mpaka mwisho kusini mwake tokea uhuru viongozi wengi ni wakristo na asilimia kubwa ya watendaji ni wakristo na wao ndio wanadai wamesoma.
Swali langu ni Elimu yao na usomi wao umetufikisha wapi? Mbona tunazidi kuwa masikini na mafisadi wanaongezeka?
Mataifa ya nje yanazidi kuifanya africa shamba la bibi.. mnashindwa vipi kutumia elimu yenu ambayo mnajisifia kila siku?
Tujadili bila jazba wala kuumiza hisia za watu