Hapo ni Makongo SS nini, maana hizo sare kama niliwahi kuziona hapo
Afu ukimtathmini mdau maeneo ya mapaja dizain kaloana vile, au ndo WAZUNGU wametoka hana habari.Halafu kachagua wale wanono wanono tu mkuu!
Bila shaka kawakosesha makusudi kabisa!
Mwamvuli hujauona mkuu?Afu ukimtathmini mdau maeneo ya mapaja dizain kaloana vile, au ndo WAZUNGU wametoka hana habari.
Mkuu ujue hatapozi alilotumia kupiga chabo linasapoti hoja yangu...........hilo pozi mkuu marijari wengi hulitumia pindi mambo yanapoharibika. Nazungumza ka xperience lol....Mwamvuli hujauona mkuu?
Mkuu wewe hufai, umeniacha hoiMkuu ujue hatapozi alilotumia kupiga chabo linasapoti hoja yangu...........hilo pozi mkuu marijari wengi hulitumia pindi mambo yanapoharibika. Nazungumza ka xperience lol....
Miaka ya 90 adhabu hizo zilikuwepo hasa za Jeshi na Government Schools, lakini sina uhakika kama kizazi hiki cha leo bado zipo na haki elimu hii...Zinafanana sana mkuu..
kwani na watoto wa mujini nao wanapewa adhabu za kinyankuzi namna hii?
Pengine kuna mmoja wao hapo aliwahi kumnyima Mpunyenye sasa ameona bora aule kwa macho......Kama ni bifu basi hili noma!
au anajumlisha machungu ya salary kisoda nini? lol