kandukamo, ulinkafu ugwe?Mdau anapiga na chabo.........................hahahahahah. I wish I could be discipline master.
Mdau anapiga na chabo.........................hahahahahah. I wish I could be discipline master.
Kyala ikutula 'ndi nkafu inya.kandukamo, ulinkafu ugwe?
Hahahahhah.................hufai kuandaa kizazi kijacho sheikh. Sipati picha hilo paja yawezekana umelifanyia ulinganifu na baadhi ya paja ulilowahi kutana nalo lol.Upaja mzuri huo yakhee hata kama ingekuwa ni wewe lazima ungepiga chabo hata ya kiaina
Nilikuwa mjeuri sana yani nisingekubali hiyo adhabu hata waje walimu wote