The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Lisu sio Lowasa aliyekubali kuibiwa,ccm Mara ya mwisho ilishinda 2010.Kanda ya ziwa hakuna maajabu yaliyotokea kuzidi ya Lowasa aliepita, lakini mwisho wa siku mlikalia msumali wa moto wa gesi.
Kajinga wewe!Mimi nipo kwenye KAMATI YA WACHOCHEA KUNI(KAWAKU).
Ukiwa na akili timamu utajua nipo kundi lipi.
Chadema ni bango kubwaaaaaaaaaa
Tundu for Life.
Magufuli oyeeeeeeee
Lisu kachukua akili zaoEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Tundu Lissu for PresidencyKajinga wewe!
Mpaka sasa bado wanaota Ikulu? Duh ! Nikamsikia mtoto mmoja akisema labda wanaota ikulu ya Malawi ! Hii ya TZ wasubir matokeo! Kama walitishia kuchukua Nchi bac ilikua 2015 sio 2020. Yetu macho na masikio ! Jiwe litaibuka mshindi kama lilivyo Imara.Endeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
ApigweeeeeApigwe nduliii
Jidanganye na ufinyu wako wa mawazo1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.