Mnara wa Babeli unaanguka

Tukate robo ya wapiga kura wa babeli mpewe nyinyi kwa mkopo.
kisha muungane wanyanyembe wote wa nchi nzima bado hamtoweza kuiangusha babeli.
andikeni tu kwa sababu Tanzania kuna uhuru wa kujieleza na kuandika chochote mtu atakacho.
 
Kama Kanda ya ziwa ngome yenu ndo vile vipi Kanda zingine
 
Kama Kanda ya ziwa ngome yenu ndo vile vipi Kanda zingine
Kanda ya ziwa hakuna maajabu yaliyotokea kuzidi ya Lowasa aliepita, lakini mwisho wa siku mlikalia msumali wa moto wa gesi.
 
Sasa wewe uko kundi gani? Mara umshabikie Lissu mara uko kwa jiwe ukoje wewe?
Mimi nipo kwenye KAMATI YA WACHOCHEA KUNI(KAWAKU).

Ukiwa na akili timamu utajua nipo kundi lipi.

Chadema ni bango kubwaaaaaaaaaa

Tundu for Life.

Magufuli oyeeeeeeee
 
Ni sawa na fisi mwenye njaa kusubiri mkono wa binadamu akidhani utadondoka ili ale.
 
Muwe mnabakisha maneno msije baadae mkaambiwa " Ngoma ya kitoto haikeshi"
 
Usimfananishe TL na AL yule hakuwa na ushawishi ila alikua na nyota akisimama yy ni ELIMU ELIMU ELIMU kamaliza TL ana mwaga nondo hatarii na alipoanza alibezwa kadiri anavyoendelea anakuja juu km moto wa gesi hakuna kundi alilokua hajaligusa na Hana anachoogopa ibeni akunukishee
 
Sisi Wasukuma wa Kanda ya Ziwa tunasema hiviii Hatumtaki Magufuli na CCM yake
 
Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine
 
Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine
Mwaka huu hamna kumuachia Mungu.
 
Watu wamechoka na jiwe ajifunze kuwa sio lazima watu waandamane mtaani siku hizi watu wanaandamana online na ujumbe unafika.
 
Utasubiri sana.
Swala la CCM kuanguka futa kichwani kabisa.
Nani akiangushe? CDM wasiokua na hija wala sera, Watanzania sio wajinga waache kuchagua mtu wa kuendeleza nchi yao wakamchague Kibaraka wa Mabeberu na Anesupport sera za Magharibi kama Ushoga.
Nasema Lissu No❌
 
Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine
2015 ilikua zaidi ya haya tunayoona sasa ila kilichotokea wanakifahamu,

Wanachofanya hapa ni kujaribu mamlaka kuona kama zitayumbishwa na propaganda zao.

Huwa tunawaambia mara zote huwezi chukua nchi kwa propaganda dhaifu dhaifu namna hii, hawaelewi.

Watu tunasubiri tu siku ifike Magufuli aapishwe tuendelee kuijenga nchi yetu.

Nchi yetu sio ya majaribio aisee.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…