Ngoja Lissu aongelee urekebishaji wa Fistula kuwa utakua bure ili nawewe umuunge mkonoEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Umetusahau sisi huku vijijini, pia nako kumepamba moto. HATUDANGANYIKA TENA1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
CCM hoyeeEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Sawa, matokeo ya jiwe kutoswa baharini hayatapingwaMvumilie pale matokeo yatakapokuwa yanatangazwa kama yanavyowafikia. Na hakuna mahali popote mnaweza kuyapinga.
Wewe chagua moja mpigie kura jiwe ashinde au usimpigie kura na ashinde.Sawa, matokeo ya jiwe kutoswa baharini hayatapingwa
H.A.S.H.I.N.D.IWewe chagua moja mpigie kura jiwe ashinde au usimpigie kura na ashinde.
Ukifuata yanayoongelewa kwenye mitandao, unaweza ukadhani sasa Chadema wamechukua nchi. Hakuna kipindi ambacho watu walidhani CCM ingeanguka kama 2015. Mitandao ilipamba moto lakini matokeo yalivyoanza kutangazwa watu walikimbia siyo Facebook, tweeter, instragram na humu JF. Hata humu, haya mapambio mwisho wake itakua tarehe 29 na 30 Oktoba, 2020.1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Magufuli yupo mpaka 20301.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Chief umeamua kuzama na Meli yako😂😂Hii ni ishara ya uvivu hata Rais awe kiumbe gani watu aina ya mleta mada wataendelea kulalamika tu,
Haiwezekani mtu anayejali muda na kuzalisha akawa member wa watsapp group zaidi ya sita, hizo ni chache tu alizotetea mleta mada ukiacha na zile za kiutuuzima ambazo mleta mada naye ni member.
Njooni mkaone kataahira ka Lumumba haka hapa!Endeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Yaani ubabe wa maccm kwa miaka takriban minne umezimwa na TUNDU LISSU kwa week tatu tuUkifuata yanayoongelewa kwenye mitandao, unaweza ukadhani sasa Chadema wamechukua nchi. Hakuna kipindi ambacho watu walidhani CCM ingeanguka kama 2015. Mitandao ilipamba moto lakini matokeo yalivyoanza kutangazwa watu walikimbia siyo Facebook, tweeter, instragram na humu JF. Hata humu, haya mapambio mwisho wake itakua tarehe 29 na 30 Oktoba, 2020.
Kana fistula?Ngoja Lissu aongelee urekebishaji wa Fistula kuwa utakua bure ili nawewe umuunge mkono
Sasa wewe uko kundi gani? Mara umshabikie Lissu mara uko kwa jiwe ukoje wewe?Magufuli yupo mpaka 2030