The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 114
- 30
View attachment 64129jamaa kajisahau kitaa na thong ya demu wake....aibu tupu!!!!
View attachment 64129jamaa kajisahau kitaa na thong ya demu wake....aibu tupu!!!!
Hapana hyo g si ya mkewe.
Kuna g-string za kiume,zipo nyingi tu mbona?
Hata ma-Boutique zipo.
Ningepatwa na presha kama ucnge-comment.
Du inawezekana ikawa yake mkuu lol!!!
Mwali mwanangu, umezijulia wapi hizooooo?Thong yake mwenyewe hiyo!
ipo embroidered na imeandikwa:
I love bad boys kwa mbele.
Unan'chokoza e???
N'takumeza.
Haya Nimeona Mamii! Ila kwangu hapana!!! Ngoja nitakuwa nawaona Wengine tu
photoshop hii
Ukumbuke pia kuna ndugu wa david cameroon!
hizo za wanaume ni za kuwasaidia kupwiu au?hizi fasheni hizi nahisi sasa dunia inazungukia kurudi nyuma na ndio maana mambo ya siku hizi yanaenda kinyume nyume.Hapana hyo g si ya mkewe.
Kuna g-string za kiume,zipo nyingi tu mbona?
Hata ma-Boutique zipo.