Tatizo la kukosa nguvu za kiume lipo Ila Sio Kama linavovumishwa kiasi hicho

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Mwaka 2013 nakumbuka nilikuwa chalii wa miaka 19....mda huo nilikuwa nimetoka kumaliza shule Niko kitaa nikawa na mahusiano na demu wa form 3 kwa wakati huo...waswahili wanasema ujana no maji ya moto nikajichanga nikapeleka kademu gesti...

Duuu..
wakuu unaweza sema umelogwa Yani abdallah kichwa wazi alivonisaliti siku Ile hata sikuelewa aibu niifiche wapi...baada ya bao la Kwanza ili kulipata bao la pili nililitafuta zaidi ya lisaa hadi nilikosa raha...sijui Kama ishawahi kukutokea hii katoto kapo pembeni kanatetemesha miguu kanataka ukuni mzee mzima nimetulia tu ilikuwa aibu Sana.

Asa kwa umri ule huwezi sema nilikuwa Sina nguvu isipokuwa Kuna vitu nilikuwa nahofia.

1. Hofu

Yule demu baba ake alikuwa ni mjeshi kwa hio kila nilipokuwa napumpu nilikuwa kama namuona mzee wake na hivi walikuwa wanafanana.

2. Mimba
Nilihisi yule dogo angepata mimba ,sikuwa na amani

3. Magonjwa..
Nilikuwa nimetoka kukielewa Sana kile kitabu cha kilio chetu Cha mhusika joti kwa hio nilihofia sana nikakosa hamu ya tendo

Kwa Sasa nimekuwa nakiwasha sna mpka mademu wanakolea...nauwezo wa kupiga na kuunga humohumu...isipokuwa nikikutana na demu chibonge,chenye kitambi na minyamanyama mi nakosa kweli nguvu.

Stress na Magonjwa Kama kisukari vinaweza kuwa na shida Ila nimezunguka point yangu nyeto Haina shida tusiisingizie.
 
Kwahyo baba mjeda ndo akakufanya uwe na hofu ya kugegeda au ni sida zako tu za mwili na wanaowala watoto wa marais mbn wanakula vzr tu tupe sababu Inayoweza kutushawishi kwa hili la kutuaibisha wanaume ili tukuelewe :D
 
Mwaka 2013 nakumbuka nilikuwa chalii wa miaka 19....mda huo nilikuwa nimetoka kumaliza shule Niko kitaa nikawa na mahusiano na demu wa form 3 kwa wakati huo...waswahili wanasema ujana no maji ya moto nikajichanga nikapeleka kademu gesti...

Duuu..
wakuu unaweza sema umelogwa Yani abdallah kichwa wazi alivonisaliti siku Ile hata sikuelewa aibu niifiche wapi...baada ya bao la Kwanza ili kulipata bao la pili nililitafuta zaidi ya lisaa hadi nilikosa raha...sijui Kama ishawahi kukutokea hii katoto kapo pembeni kanatetemesha miguu kanataka ukuni mzee mzima nimetulia tu ilikuwa aibu Sana.

Asa kwa umri ule huwezi sema nilikuwa Sina nguvu isipokuwa Kuna vitu nilikuwa nahofia.

1. Hofu
Yule demu baba ake alikuwa ni mjeshi kwa hio kila nilipokuwa napumpu nilikuwa kama namuona mzee wake na hivi walikuwa wanafanana.

2. Mimba
Nilihisi yule dogo angepata mimba ,sikuwa na amani

3. Magonjwa..
Nilikuwa nimetoka kukielewa Sana kile kitabu cha kilio chetu Cha mhusika joti kwa hio nilihofia sana nikakosa hamu ya tendo

Kwa Sasa nimekuwa nakiwasha sna mpka mademu wanakolea...nauwezo wa kupiga na kuunga humohumu...isipokuwa nikikutana na demu chibonge,chenye kitambi na minyamanyama mi nakosa kweli nguvu.

Stress na Magonjwa Kama kisukari vinaweza kuwa na shida Ila nimezunguka ipoint yangu nyeto Haina shida tusiisingizie.
Kiungo muhimu katika tendo ni ubongo, stress ndo zinaharibu na siyo vinginevyo.
 
Jinsi hili tatizo linavyokuzwa, na gijana wanavyohadaika. Nawaza sijui nimshitue mwanangu toka kongo hapo awe ananiletea mputuruu, nipige pesa.

Mtaani vijana wanahangaika saana na madawa, wameshaharibika kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom