zile chupi ulizomnunulia nazo azirudishe?
true! mi nilishushwa kwenye kivits mchana kweupeee posta!!Ni ushamba wa hali ya juu kama sio ulimbukeni kudaiana vitu mlivyopeana wakati mkiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi! Tena ni umasikini wa roho!
true! mi nilishushwa kwenye kivits mchana kweupeee posta!!
katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..
Chupi, pesa, khanga, nk. zinaweza kurudishwa, lakini nguvu za kiume hazirudishwi ng'o!
na kama ulimkopesha,kabla hajalipa tukaachana ruksa kudai?
tukisema turudishiane kuna mengine yatatushinda..
true! mi nilishushwa kwenye kivits mchana kweupeee posta!!
true! mi nilishushwa kwenye kivits mchana kweupeee posta!!
heh heheeee!!yethuuuuuuuuu...!!!hiyo ndio yenyewe!jamani,kuna vinginye vinarudishwa afu inategemea mmeachana vip!!true! mi nilishushwa kwenye kivits mchana kweupeee posta!!