Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Pole kwa Mke au Mume haitokihuwa unatoa Pole ili iweje na uzoefu wako wote?
We si umesema shetani mara umeona avatar bomba umeingia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe ukipewa pole je?
Asante ya nini wakati hailipii hata kodi ?amepewa bure anatoa bure
wa mwisho kupiga bao
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
Hahahahahaha hahahahaMi ukinipa pole Nakuwasha kofi...
Zile kilometa mnazosafiri unadhani ni mchezo! Ahsante inahusu sana hapo
Mkuna na mkunwaji yupi huona tamu !?Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
khaaaa pole ya nini sasa? nipe congrats tu hapo