Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,746
Reaction score
27,214
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
 
Leo ni sikukuu...hata post zimekaa kisikukuu sikukuu

Heri ya sikukuu!
 
Hakyi ya nani!!! Pole tena!!!!

Hahahahaaa...eti Eshy m.s pole sana na starehe!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom