Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

Tukiwaweka tunawatumia, tusipowaweka ooh hatuwapendi sijui mpo wengi, mnataka nini sasa nyie viumbe? Ndio maana mie profile pic yangu nimemuweka Yesu.

Saafi kabisa atoto. Hivi hiyo profile pic ni nn naninawekwaje🙄
 
Last edited by a moderator:
Kama kuwekana profile pic ni kipimo cha upendo basi mie Nina F!!!
Akitaka ku appear kwenye profile pic aweke kwenye cmu yake!

Kabisa mi niliwahi kuambiwa kama unanipenda niweke kwenye profile lol. Nkagoma akanuna. Mtu hata ndugu zangu hawamjui afu ndo nianze kumtambulishia kwenye mitandao. Unashangaa tu dada na kaka zako wanauliza umeshindwa kumleta nyumbani unatutambulishia fb au whatsapp
 
Tukiwaweka tunawatumia, tusipowaweka ooh hatuwapendi sijui mpo wengi, mnataka nini sasa nyie viumbe? Ndio maana mie profile pic yangu nimemuweka Yesu.

hahahahaaa
uuuuuuiiiiii
mbavu zangu mie!
 
Tukiwaweka tunawatumia, tusipowaweka ooh hatuwapendi sijui mpo wengi, mnataka nini sasa nyie viumbe? Ndio maana mie profile pic yangu nimemuweka Yesu.

I always dont care on those petty issues
 
wewe acha utani, hiyo picha ya yesu uliitoa wapi? au umetoka mbinguni ukajifoa na yesu.. Au yesu gani unaemzungumzia wewe maana huyu wa nazareti napata kigugumizi kidogo katoto
Tukiwaweka tunawatumia, tusipowaweka ooh hatuwapendi sijui mpo wengi, mnataka nini sasa nyie viumbe? Ndio maana mie profile pic yangu nimemuweka Yesu.
 
wewe acha utani, hiyo picha ya yesu uliitoa wapi? au umetoka mbinguni ukajifoa na yesu.. Au yesu gani unaemzungumzia wewe maana huyu wa nazareti napata kigugumizi kidogo katoto

Hata mimi sijui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom