Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

Kama kuwekana profile pic ni kipimo cha upendo basi mie Nina F!!!
Akitaka ku appear kwenye profile pic aweke kwenye cmu yake!

nimeshagombana na mwenzi wangu mara kibao.!!
oooh!! hunipendi, kwa nini huweki profile ya picha yangu.

nikamwambia, kama ndio mawazo yako basi mimi sikupendi kabisaaaa!!!
tena naomba tuachane kuanzia leo.
tangu siku hiyo haongelei tena mambo hayo.

kuna wengine hatupendi show off za kijinga jinga
 
Ni show off za kijinga jinga kwa kweli!
 
Kuna jamaa anapiga misele na huku ameweka profile pic ya mke wake. Sumu ndo muhimu...
 
Mm kiukwel huwaga navutiwa kuweka but siwek picha ya mwanamke yyte coz nina wengi so naogopa maswal maswal kwa wengine....
 
Mh hivi kuwekwa profile pic ndo kipimo cha mapenzi??? Skulijua hili
 
tajirijasiri

mm najua my xxxxx ataniweka profile pic kwa mazuri tu. Sikutaji basi njoo hapa useme la moyo afu nibandike profile na roho yangu itapona. Ahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kipindi Simu zinakuja Tanzania kwa kwel hatukuandaliwa kiakil.... siamin hata kidogo kama Simu ni sehem ya mahusiano yako Na mwenz wako.
 
Mi popote pale panapoitwa mtandaoni siweki picha yangu, hata ya ndugu yangu, ya kile ninachofanya...
Naona huwa ni ushamba fulani hivi mtu anajipiga picha kabenua makalio afu huyo whatsapp profile..

Kuna watu akili zao ndogo sana
 
Dah! Mimi haya mambo ya Whatsapp nilisha acha kutumia, tangu walivyoanza eti mara ukitumiwa ujumbe ukausoma mtumaji anajua so usipomjibu anaanza lawama kibaao, mara oooh nimekutumia msg umeisoma kabisa lakini hutani kunijibu"
Nikajiuliza simu ni mali yangu, iweje mtu aanze lawama na maneno mpaka kufikia kugombana? Nilichoamua ni kulifutilia mbali hilo li wasap, na tena ninatamani hata hizi txt za kawaida nizizuie zisiweze kuingia, ili mtu akiwa na shida na mimi awe anapiga tu, nimeshajaribu kubadilishe Center namba ila bado zinaingia, kwanza naombeni msaada kwa mtu mwenye ufahamu
 
Tumia ttcl tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom