OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Ke.................
Daaanh dodo chini ya mnazi. . . . .
Ke.................
Mpaka usifiwe na mimi pia.
Hakika wewe ni single mum!Kama kuwekana profile pic ni kipimo cha upendo basi mie Nina F!!!
Akitaka ku appear kwenye profile pic aweke kwenye cmu yake!
Daaanh dodo chini ya mnazi. . . . .
Kuna tatizo?Hakika wewe ni single mum!
Hapana. Nimetabiri tuKuna tatizo?
Okay!!!Hapana. Nimetabiri tu
Wewe hutaki kutumika kwa kuwekwa profile picture?
tena la nne ndio pumba academy, kwa sababu kama ameweka kwenye lets say whatsapp yake, ina maana wanaoona ni contacts wake, sasa inanizuiaje kupata wanawake wengine? While mimi sijamuweka?
dah kumbe tupo wengi, na kweli hatukukosea!!! maana alijirudi na speed 180/sec
Yoooote ukweli mtupu
Keshaingia kwny 18 alaf ananieshm kinoma...
Hata Facebook wala Instagram, watakaoona ni friends wake na followers wake, sio followers wangu mimi!Lets say ni Facebook na Instagram
poa binamu, kimya....Vipi binamu
poa binamu, kimya....
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo yafuatayo:
1. Kupunguza usumbufu wa inbox kwa huyo mwanamke.
2. Kutuliza maumivu ya mwanamke kuachwa.
3. Kuwaonesha wanawake wengine naye ana bwana.
4. Kukufunga usipate mwanamke mwingine, ili akukamue bara bara.
Usivimbe kichwa kwamba ukiwekwa Profile Picture unapendwa sana, ni maslahi binafsi hayo amka.
Ni mawazo yangu tu washkaji msijenge chuki.