The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo yafuatayo:
1. Kupunguza usumbufu wa inbox kwa huyo mwanamke.
2. Kutuliza maumivu ya mwanamke kuachwa.
3. Kuwaonesha wanawake wengine naye ana bwana.
4. Kukufunga usipate mwanamke mwingine, ili akukamue bara bara.
Usivimbe kichwa kwamba ukiwekwa Profile Picture unapendwa sana, ni maslahi binafsi hayo amka.
Ni mawazo yangu tu washkaji msijenge chuki.
Nashukuru kutambua upeo wako ulipo ishia...
Atayejenga CHUKI na ww atakua na upeo mdogo zaid maana ata mnyonge anamnyonge wake pia...
​Hahahaaa... hizi ndo kasoro zenye kasoroo