Mnaoweka bottox kufanya midomo iwe minene

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,220
Reaction score
10,730
Nimekutana na hii video mpaka nimebaki kujiuliza je inakuwa urembo unafikia kiwango cha kukupa wakati mgumu namna hii? Aisee Mungu atusaidie sana!
Your browser is not able to display this video.
 
Watu na ๐Ÿ‘„ pana zao mjinii, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizo ndo lips denda wanatumia kunyonya dyudyu ๐Ÿ˜Ž
 
Yah kuna
Liposuction
Breast augmentation
Tummy tuck
Bbl
Botox filler
Vaginoplasty


Zooote mtu mmoja anafanya๐Ÿ™Œ
Ila wanawake wenzangu mko na energy
Hongeren
Kuna vitu mpaka unaogopa kumtazama mtu kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ