Mnaoweka bottox kufanya midomo iwe minene

Mnaoweka bottox kufanya midomo iwe minene

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Nimekutana na hii video mpaka nimebaki kujiuliza je inakuwa urembo unafikia kiwango cha kukupa wakati mgumu namna hii? Aisee Mungu atusaidie sana!
 
Yah kuna
Liposuction
Breast augmentation
Tummy tuck
Bbl
Botox filler
Vaginoplasty


Zooote mtu mmoja anafanya🙌
Ila wanawake wenzangu mko na energy
Hongeren
Kuna vitu mpaka unaogopa kumtazama mtu kabsa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom