Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
248
250
Kuna account moja humu JamiiForums ya TTCL niliweka comment nikasema kwa muda wa siku 3 nimetumia elfu 30. Yaani ilikuwa 10,000 kwa mwezi mzima sasa jamaa nikiweka 10,000 siku ya pili haipo. Kuna mtu kuiona comments yangu akaanza kubwata na TTCL wenyewe wametaka niwapigie simu wakati huo mimi nilikwenda mpaka ofisi kuu yao, sasa kwa simu nipige itasaidia nini?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
braza juzi nilijiunga kifurushi cha GB 7 cha mwezi na laini yao huwa naweka tu pale napotaka kutumia mb.kituko kilikuja kabla sijatoa laini huwa naangalia kiasi cha Mb zilizobaki,nlikuwa na GB 6.5 zilizobaki na ushahidi wa msg ninao wa salio,sasa nikatoa line jana naweka line nikataka kudownload kitu cha Mb30 mida ya saa tano asubuhi,

sms ikaja eti huna salio la kutosha nlipanic hatari ikabidi niwapigie huduma kwa wateja...daah YAANI NIKAAMBIWA UMETUMIA GB nyingi MIDA YA SAA 4 ASUBUHI WAKATI LINE NIMEIWEKA SAA TANO ASUBUHI?

Daah nlichoka nikawaambia hebu angalia hii line imkuwa hewani muda gani toka sasa?akabaki anacheka tu na kuniambia ndugu ndio hivyo umetumia mb nyingi muda huo...

Ila kitendo cha kucheka tu nikawa nimeshapata jibu kinachoendelea TTCL...

TTCL MNAZINGUA SANA YAANI HAMNA MTU ATAKAE KUBALI HUU UJINGA WENU
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,218
2,000

Pole sana ndugu mteja.
 
ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
248
250
Pole sana ndugu mteja.
wawe wanaangalia namna ya kulinda brand yao kwa mistake zao,kuliko kuwakarahisha wateja mpaka kupelekea kumfukuza mtu kurudi kwenye mitandao mingine...pia wajue vifurushi vyao havina tofauti na tigo wala voda kwa gharama

Hivyo wasijidangaye kwamba itakuwa ngumu watu kuwakimbia..maana kwa na namna yoyote hawawezi kuifika voda wala tigo ikiwa kila kitu wanafananao..tena wenzao wanajitahid Bando za internet hazikati kiboya boya kama wao
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,218
2,000
wawe wanaangalia namna ya kulinda brand yao kwa mistake zao,kuliko kuwakarahisha wateja mpaka kupelekea kumfukuza mtu kurudi kwenye mitandao mingine...pia wajue vifurushi vyao havina tofauti na tigo wala voda kwa gharama

Hivyo wasijidangaye kwamba itakuwa ngumu watu kuwakimbia..maana kwa na namna yoyote hawawezi kuifika voda wala tigo ikiwa kila kitu wanafananao..tena wenzao wanajitahid Bando za internet hazikati kiboya boya kama wao
Shukrani kwa maoni yako mkuu.
Nilipata muda nitaonana na menejementi yao ili niwasilishe malalamiko yenu.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,925
2,000
Husiku na kichwa cha habari hapo juu,

Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja.

TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma zenu/kuomba maoni mbalimbali kwa wateja wenu. Fanyieni kazi maoni ya wateja wenu.

Asante
Raha ununue vifurushi vya wiki au mwezi lakini vifurushi vya 24/hrs hasa kwa internet ni vimeo tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom