Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,275
Acheni kutumia tecno, hizo ndo zinawalamba bando zenuukitaka usielews bando linaendaje washa 4g muda wote.
cha kuwashauri wekeni auto 3g and 2g.ina kasi nzuri tu ambayo sio ya kutisha kwenye kubugia.
sababu ukiweka 4g,ukiingia youtube inaplay resoln kubwa ambayo inakata bando si kawaida.
ukiingia inta inaload video kwa haraka na kula bando vibaya sana.