Ndiyo sisi haoSawa SAWA
Majizi Kila Kona Tanzania
Nimesoma nimeelewa,lakin najaribu kutafakari ujanja uliotumika kutoa miamala 2 ndiyo nashindwa kuelewa. Why?Habar za muda huu!! Mm sio mwandishi mzur kweny maelezo but natumain ujumbe wang utawafikia.
Niende kweny mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yang kuna sehem tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kweny ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kweny ATM, hapo kweny ATM kuna sheli ya mafuta lakin mabas yanayoenda mikoan wanapita hapo kwa ajil ya kuchimba dawa na kupata huduma ya chakula. Bas ile jamaa anataka kuingia ATM mlinzi akatumbia machine hazina fedha. Bas kuangalia pemben tukaona kuna nmb wakala jamaa akaona bora akatoe fedha kupiitia nmb wakala. Jamaa akaingia akatoa fedha na akapewa risiti kuwa ametoa fedha tayar na tukaingia sheli tukajaza mafuta hao tukasepa. Tukiwa tumefka sehem tunayoenda jamaa akawa ametoa simu yake kuchek anaoana kuna sms mbili za nmb kuwa ametoa fedha, sms zote zikawa zinaonyesha muda ni huo huo yaan hazikutofautina muda. Yaan kiujumla wake zote zinaonyehsha saa 10: 10. Jamaa akawa amenishirikisha kuwa mbona anaona sms mbili kweny simu yake na zote za nmb?? Kiwango cha fedha cha kutoa kilikuwa sawa kwa sms zote mbili. Nikmashaur jamaa aanglie salio kweny simu yake na uzur jamaa anatumia nmb app. Jamaa kuchek anakuta fedha imepungua, hapo tukaona bas huyu jamaa atakuwa amepigwa na hao wadada kweny kutoa fedha kwa nmb wakala. Tukashaurina tumalize kaz iliyotuleta then tupitie hiyo sehem. Bas kaz ikaisha hao ikabid tupitie hapo tulipotoa fedha. Tumefka dada kumuona jamaa kama akashtuka ivi, jamaa akatoa maelezo hapo, dada akamwambia ulitoa fedha saa ngap?? Jamaa akajibu, " nimetoa fedha saa 10.10" Dada akachukua machine yake akaanza kuangalia miamala ya muda huo. Akaanza mara oooohhh we namba yako inaishia na ngap?? Jamaa akamjib inaishia 60. Dada akaanza mara hapa ngoja. Niangalie salio mara tena hapa miamala mbona ipo mitatu. Sisi tupo kimyaaa. Mara dada akasema andika namba yako hapo kama nikikuta hasara ntakupgia ili urudishe hyoo fedha. Jamaa akaandika namba yake ya simu na hapo dada akatoa hiyoo fedha. Jamaa akamuambia dada aitume hyo fedha irud kweny account yake. Bas hao mm najamaa yang tukasepa tukiwa njian tukawa tunajiuliza maswal kadhaaa
1. Pale abiria wanashuka kupata chakula mfano ameenda kutoa fedha akapigwa inakuwaje??
2. Kama simu yako hujaunganisha na bank ili wawe wanakutumia sms ukitoa fedha au kuingiziwa fedha inakuwaje??
Tuwen making sana na hawa makala wa bank wakuuu.
Asante kwa Taarifa 👏Habar za muda huu!
Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta.
Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa ajili ya kuchimba dawa na kupata huduma ya chakula.
Basi ile jamaa anataka kuingia ATM mlinzi akatumbia machine hazina fedha.
Basi kuangalia pembeni tukaona kuna NMB wakala jamaa akaona bora akatoe fedha kupitia NNB wakala.
Jamaa akaingia akatoa fedha na akapewa risiti kuwa ametoa fedha tayari na tukaingia sheli tukajaza mafuta hao tukasepa.
Tukiwa tumefika sehemu tunayoenda jamaa akawa ametoa simu yake kucheki anaoana kuna sms mbili za nmb kuwa ametoa fedha, sms zote zikawa zinaonyesha muda ni huo huo yaani hazikutofautina muda. Yaani kiujumla wake zote zinaonehsha saa 10: 10.
Jamaa akawa amenishirikisha kuwa mbona anaona sms mbili kwenye simu yake na zote za nmb?? Kiwango cha fedha cha kutoa kilikuwa sawa kwa sms zote mbili.
Nikamshauri jamaa aanglie salio kwenye simu yake na uzuri jamaa anatumia NMB app. Jamaa kuchek anakuta fedha imepungua, hapo tukaona basi huyu jamaa atakuwa amepigwa na hao wadada kwenye kutoa fedha kwa NMB wakala.
Tukashaurina tumalize kazi iliyotuleta then tupitie hiyo sehemu. Basi kazi ikaisha hao ikabidi tupitie hapo tulipotoa fedha. Tumefka dada kumuona jamaa kama akashtuka hivi, jamaa akatoa maelezo hapo, dada akamwambia ulitoa fedha saa ngapi? Jamaa akajibu, " nimetoa fedha saa 10.10" Dada akachukua machine yake akaanza kuangalia miamala ya muda huo.
Akaanza mara oooohhh we namba yako inaishia na ngap? Jamaa akamjibu inaishia 60. Dada akaanza mara hapa ngoja. Niangalie salio mara tena hapa miamala mbona ipo mitatu. Sisi tupo kimya. Mara dada akasema andika namba yako hapo kama nikikuta hasara nitakupigia ili urudishe hiyo fedha. Jamaa akaandika namba yake ya simu na hapo dada akatoa hiyo fedha. Jamaa akamuambia dada aitume hiyo fedha irudi kwenye account yake. Basi hao mimi na jamaa yangu tukasepa, tukiwa njiani tukawa tunajiuliza maswal kadhaa
1. Pale abiria wanashuka kupata chakula mfano ameenda kutoa fedha akapigwa inakuwaje?
2. Kama simu yako hujaunganisha na bank ili wawe wanakutumia sms ukitoa fedha au kuingiziwa fedha inakuwaje?
Tuweni makini sana na hawa wakala wa bank wakuu.
Inawezkna ni chai eHapo haiwezekani au maelezo yako hayajatosheleza. Naongea kama agent mzoefu.
Inawezekana
Kama mtoa fedha aliweka namba za Siri mara mbili kitu ambacho hujaeleza. Au tuseme mtoa huduma aliweza kunakiri namba za mteja kama alimtajia kitu ambacho hukusema.
Haiwezekani
Kwa sababu Kila unapotaka kommand ya kutoa pesa ni lazima uweke namba ya siri ya mteja.
Nini kilitokea?
Huyo mtoa huduma si mzoefu wa matumizi ya hiyo mashine, miamala miwili tofauti haiwezi kuwa na muda unaofanana ya 10:10:23, never ni lazima ipishane muda, kitendo Cha kuurudia muamala kinachukua dakika mzima mpaka kukamilika. Haujatupatia taarifa kama jamaa yako hakutafutwa tena na huyo mdada. Kingine usipende kuharibu biashara za watu kwa kisa kimoja, hata kwa ATM kadi zinamezwa na kuna kipindi mtu hajapata huduma ya kutoa pesa lakini ATM inaonyesha umetoa japo ni rare cases.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwa mtu anayefanya biashara zisizokuwa na muda maalumu ukimwambia habari za ATM hawezi kukuelewa maana ATM haiwezi kukupa zaidi ya 1mill.(nazungumzia NMB though sijauliza karibuni kama utaratibu huo ulibadilishwa ama lah)Mimi ni mwendo wa ATM tu.
hata mimi nimejiuliza sana..Wenye elimu juu ya hizi mashine zao za wakala ni bora watujuze
Kama mtu umeweka password mara 1 inawezekanaje miamala iwe mara 3? Au ukishaweka password tu unaweza kufanya miamala unayotaka?
Inawezekana ikawa shida ya mtandao maaana kuna siku message ya kutoa hela ila ilikuwa hela za kwenye simu ilionesha nimetoa hela na message zikaja mbili na zinafanana kila kitu.Habar za muda huu!