Je, naweza kutoa fedha kwenye ATM ya NMB bila kuwa na ATM Card kwa kutumia Simu tu?

ATM haiwezekani, ila unaweza kutumia NMB mobile kutuma kwa pesafasta kisha utaingiza namba ya simu ambapo utakwenda ATM na kuweka password ulizotumiwa na pesa itatoka bila kadi.

NMB karibu yako.
 
Back
Top Bottom