Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

Hii ina maana hata Zitto asipotimuliwa kweli huo mtihani ata u pass? ha ha ha just wondering.
 
Ndugu yangu kama kweli Tanzania ya leo tuna watu mnaoongelea ukabila kwa kuwaleng watu fulani mjue tuna muda mrefu wa kupiga maendeleo kiuchumi na kifikra. Na bahati nzuri watu unaowapa jina baya nawasifu maana walipotambua mnawabagua wakawekeza katika elimu na uchumi. Wakati mnaangaika na shule kila kata wao washapita huko zamani maana wao wanaongelea sekondari 4 na zaidi kwa kila kata. Wako too strategic maana wanasoma focusing on the industry from which they can be employed or self employed and extract cream. Wenzetu wametuzidi hata kama mtawapaka matope. Hamna ukabila kwao bali uwezo. That's the bottomline

Yale yale ya Mgonja na Elinewinga waliokuwa wakisomesha watoto wao. Mimi nilisoma mpaka na Wapare shule za usukumani wamesambazwa ili kujaza nafasi za Wasukumua wasisome. Matokeo yake: Pita maofisini sasa hivi Wasukuma wa mwisho kuingia huko ni akina Marcel Komanya na Wiliam Shija. Baada ya hapo watoto wa wasukuma walikuwa mazezeta wasioweza kufaulu, kisa Mchaga ameingia biashara ya kupika na kuuza chakula, huku strategy yake ikiwa ni kuwalisha sumu holela waTz wasione wanachokitafuta maishani.Unawasifu "my ass".
 
Dr.W.Slaa naomba utwambie nani atasahisha hiyo mitihani?maana hatutegemei wewe mwenyewe ndio msahishaji wa mtihani.

Nani atasimamia hiyo mitihani?

Umejiandaa vipi kukabiliana na watakao chora mazombi kwenye mitihani?

Umejiandaaje kukabiliana na watakao ingia kwenye mitihani wametumia vilevi na mihadarati kama gongo na bangi?

Mmejiandaa vipi kukabiliana na wizi wa hiyo mitihani?bila shaka unajua vijana wako hawashindwi kuiba?

Umejiandaa vipi kukabiliana na uvujaji wa hiyo mitihani maana pale makao makuu ndio maarufu kwa kuvujisha siri za chama.
Dr.W.Slaa ina maana hata wenye viti wa mikoa na wilaya wa chama watafanya mitihani?

Katika hili naomba uandae video camera ili kuweza kuwabaini watakao kuwa wanapiga chabo kwenye chumba cha mtihani na adhabu yao ni kuwaanika hadharani.

Kamanda Rose Mayemba chukua fomu umuondoe sugu.


Kamanda Yericko Nyerere chukua fomu upige paper.

Kuna wabunge watajitoa mapema kabisa

mh Dr.W.Slaa na wabunge viti maalum hawatofanya mitihani?

Hahahahaha sipati picha dr slaa anatangaza matoke alaf anatuonesha karatasi jinsi watu walivyo chora mazombi.

Cc
Ritz, CHAMVIGA, mwekundu

Dr slaa na gongo lote hilo kichwani lilomtawala ataweza kusahihisha mitihani?
 
Last edited by a moderator:
Ninampango wa kugombea ubunge jimbo la mufindi kaskazini.kwa sasa yupo mahamud mgimwa ila najua kama sifa ninazo za kutosha za kuwaongoza wanamufindi yamkini mapato ya mazao ya misitu na viwanda vya chai,pareto na karatasi yatawanufaisha wana mufindi.
 
Du ubunifu huu ni nouma, afande sele atafaulu kweli?
Mbona katibu naye ni kapi kutoka CCM? Sasa chama ndio kinakuwa cha kifamilia zaidi.
 
Siamini kama hilo litakuwa suruhisho otherwise majimbo mengi yatarudi CCM. Mtu anaweza kuwa mzuri kwa kufaulu mtihani lakini asiwe chaguo la wananchi. Chadema tusifanye majaribio kwenye kipindi muhimu kama hicho kama kuna haja ya kuwatambua watu makini kipindi chenyewe ni sasa ambapo intelijensia ya chama inastahili kuanza kutafuta vichwa vikali vya kusimamisha 2015. Tukicheza na kuanza mbwembwe na majaribio 2015 kukamata dola tusahahu kabisa.
 
CDM my education is form four finished year 1988 and I get division 3, iam very genious.
I love CDM since it was established, please I want TEmeke because i was born there (Tandika mabatini)
I knows this district very well and body can play with in Temeke even Mtemvu he can not play with me.
Iam very famous in Temeke.

Thanks very much sir

Amani Mzeru Pilipili kichaa:A S 13:
 
Natamani sana CHADEMA ipite na kufanya mikutano ya kuelimisha wananchi jimbo la BUKENE,tunateseka,mbunge hajawahi onekana toka uchaguzi,jaman njoeni muokoe wananchi wanaoangamia.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom