Mnaotaka nafasi za ubunge kupitia CHADEMA mmeisoma hii?

Tofauti na wewe, mimi huwa nasema ukweli ambao mtu yeyote anaweza kuu-verify! Nimeshawahi kupigwa ban hapa hapa kwa kusema ukweli ambao (naambiwa) kuwa ulikiuka sheria za JF! Invisible, nimwambie kinachomstahili huyu mtu?

Kijana ukitaka kutukana wewe tukana tu, mimi nakuruhusu maana najua malezi yenu yanakosoro ndio maana bila kutukana huoni kama hoja yako itasikika.
 
Ushindani ndani ya chama kwa kupata mgombea makini kumsimamisha jiboni kwachadema bado, hizo harakati kwa kuwa bado haijafikia quantity ya kuwachuja wagombea wake na kupata quality au cream itakayopambana jimboni.. Vuguvugu lishaanza kwa afande sele kugombea kwa kuwa anaona ufa na shotcut ipo wapi..mwambie aje ccm atasubiri sana kwa kuwa mchujo ndani ya chama kabla ya jimboni ni mkali.
Chadema quality bado...kwa sasa bado inasaka quantity, na hili la zito, hatua 11 nyuma katika hatua nane mlizotembea. Hatua tatu mnadaiwa kabla kufikia starting point.
 
Hivi kweli ni maswali ya aina gani yatawezwa kujibiwa na watu kama Godbless J Lema?

Bila shaka kuna watu watakuwa wanapewa mitihani yao.

Na kama ni kweli kutakuwa na mitihani na kwa tabia ya chadema kuvujisha siri za chama na sitashangaa mitihani kuvuja.

Hivi kweli chadema mnaiamini ofisi ya dr slaa kwa kutunza mitihani?

Kwa utaratibu huu wa mitihani kuna watu pasi shaka hawawezi kufaulu bila kuiba mitihani.
 
Last edited by a moderator:
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge kuanzia uchaguzi wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa alisema kuwa kuanzia uchanguzi ujao wa 2015, nafasi za wagombea ubunge majimbo yote nchini zitatangazwa kwenye magazeti.

Dk. Slaa alisema baada ya waombaji kujitokeza watafanyiwa usaili kwa kufanya mtihani utakaokuwa umeandaliwa kwa kuzingatia nafasi hizo.

“Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe amekwisha kusema kwamba kuanzia sasa hatupokei makapi kutoka Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na hili naliweka wazi kwamba uchaguzi ujao utakuwa na mfumo mpya na wenye mabadiliko makubwa, tunaamini utaleta uzalendo na kuondoa upuuzi unaojitokeza.

“Kwa wale walio na mipango ya kujitokeza dakika za mwisho kugombea nafasi za ubunge kupitia Chadema au nje ya chama, naomba wasahau hilo tunataka mtu anayetetea wananchi, mwenye uzalendo, hoja, ujasiri na mwenye kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuisogeza mbele,”alisema.

Akizungumzia suala la mchakato wa katiba mpya alisema Chadema haitakubali kuona inakuwa sehemu ya watu walioshiriki kutengeneza katiba isiyo ya Watanzania wote.

Wanatafuta sifa za watu wa kwenda na Dubai ccm hakuna uchafu huo Mbowe Dr. Silaha wote wametoka ccm acheni unafki hizo siyo nafasi za kazi Duniani kote hawafanyi hivyo.
 
Safi sana Dr. Slaa! hiyo itasaidia kupata wabunge wapambanaji bungeni wenye uwezo wa kujenga hoja! ila ktk uteuz huo mjaribu kufanya uchunguz kwamba ni candidate yupi anakubalika kwa wananchi! hiyo itaongeza idad kubwa ya wabunge wa CDM bungen. Mtu anaweza kuwa competent na mwenye uwezo wa kujenga hoja ila akawa hakubaliki kwa wananchi kutokana na sababu mbalimbali. Hili suala limekua tatizo kubwa kwa vyama ya siasa kwa kupitisha wagombea wasiopendwa na wananchi wa jimbo husika na hivyo kupoteza jimbo. Peopleeeeeez!!
 
Tutaibeza sana cdm kwa hatua zake za hapa na pale ila panapotakiwa kisifiwa basi pasifiwe.....

Hii hatua ya wagonbea kutangazwa(naamini itakuwa kwa kila mkoa na wilaya zake) hii ni mpya kwa siasa za bongo japo lina faida na hasara zake maana wengi wenyem mvuto sehemu husika wanaweza kuwa hawana vigezo muhimu kama ,elimu,ujasiri etc ila akawa anakubalika eneo husika sababu ya u-star wake hapo kijijini na nyie mkamtosa na kuleta mwenye kiwango ila hafahamiki,mambo yanaweza kuwa kama yale ya ccm yaliyotuletea akina shibuda.
Nways lets wait and see najua chama changu huwa hakikurupuki,najua kimefanyia utafiti jambo hili na kujiridhisha kuwa linaweza leta tija kwa wabunge wapya na kwa taifa kwa ujumla
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge kuanzia uchaguzi wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa alisema kuwa kuanzia uchanguzi ujao wa 2015, nafasi za wagombea ubunge majimbo yote nchini zitatangazwa kwenye magazeti.

Dk. Slaa alisema baada ya waombaji kujitokeza watafanyiwa usaili kwa kufanya mtihani utakaokuwa umeandaliwa kwa kuzingatia nafasi hizo.

“Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe amekwisha kusema kwamba kuanzia sasa hatupokei makapi kutoka Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na hili naliweka wazi kwamba uchaguzi ujao utakuwa na mfumo mpya na wenye mabadiliko makubwa, tunaamini utaleta uzalendo na kuondoa upuuzi unaojitokeza.

“Kwa wale walio na mipango ya kujitokeza dakika za mwisho kugombea nafasi za ubunge kupitia Chadema au nje ya chama, naomba wasahau hilo tunataka mtu anayetetea wananchi, mwenye uzalendo, hoja, ujasiri na mwenye kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuisogeza mbele,”alisema.

Akizungumzia suala la mchakato wa katiba mpya alisema Chadema haitakubali kuona inakuwa sehemu ya watu walioshiriki kutengeneza katiba isiyo ya Watanzania wote.

Sitaki kuamini nilichokisoma. Otherwise ni msumari wa mwisho kwenye jenesa la Chasema.
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge kuanzia uchaguzi wa 2015.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa alisema kuwa kuanzia uchanguzi ujao wa 2015, nafasi za wagombea ubunge majimbo yote nchini zitatangazwa kwenye magazeti.

Dk. Slaa alisema baada ya waombaji kujitokeza watafanyiwa usaili kwa kufanya mtihani utakaokuwa umeandaliwa kwa kuzingatia nafasi hizo.

“Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe amekwisha kusema kwamba kuanzia sasa hatupokei makapi kutoka Chama Cha
Mapinduzi (CCM)
na hili naliweka wazi kwamba uchaguzi ujao utakuwa na mfumo mpya na wenye mabadiliko makubwa, tunaamini utaleta uzalendo na kuondoa upuuzi unaojitokeza.

“Kwa wale walio na mipango ya kujitokeza dakika za mwisho kugombea nafasi za ubunge kupitia Chadema au nje ya chama, naomba wasahau hilo tunataka mtu anayetetea wananchi, mwenye uzalendo, hoja, ujasiri na mwenye kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuisogeza mbele,”alisema.

Akizungumzia suala la mchakato wa katiba mpya alisema Chadema haitakubali kuona inakuwa sehemu ya watu walioshiriki kutengeneza katiba isiyo ya Watanzania wote
.

RED: Mbowe amekubaliana na Maneno ya ZITTO ZUBERI KABWE kuwa wakati yeye anajiunga Chadema mwaka 1993 viongozi wengine wa Chadema wa sasa walikuwa CCM mfano Dr.Slaa. Ahsante Mbowe kwa kuliona hilo. Sometimes huna budi kufanyia kazi maneno ya adui yako hata kama humpendi.
GREEN: CHADEMA ikitokea mmeshinda 2015 nyinyi mtatumia katiba ya nchi gani?
 
Sitaki kuamini nilichokisoma. Otherwise ni msumari wa mwisho kwenye jenesa la Chasema.

Hawajisomi hao, ile dhana ya kupeleka nguvu kwa wanachama sijui ililenga kuwapa ulaji tu watu katika nafasi za uongozi wa kanda huku umangimeza bado unatoa maguvu makao makuu.
 
Nina wasi wasi wabunge wengi wa chadema kuchora mazombi kwenye mitihani ya dr slaa.
 
Hivi kweli ni maswali ya aina gani yatawezwa kujibiwa na watu kama Godbless J Lema?

Bila shaka kuna watu watakuwa wanapewa mitihani yao.

Na kama ni kweli kutakuwa na mitihani na kwa tabia ya chadema kuvujisha siri za chama na sitashangaa mitihani kuvuja.

Hivi kweli chadema mnaiamini ofisi ya dr slaa kwa kutunza mitihani?

Kwa utaratibu huu wa mitihani kuna watu pasi shaka hawawezi kufaulu bila kuiba mitihani.

hivi wewe kwanini umheshimu kamanda LEMA ? KAFUTA CCM ARUSHA bado tu hukubali ? Utapoteza muda wako kumpinga lema , humuwezi hata kwa kumchangia na marehemu ndugu zako !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom