Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.
Ni kuonjeshana tu oryt oryt mu add Kaboom na BADILI TABIA nakutumia na namba nyingine
Hawa watu hawatabiriki unaweza kumnyima na ukaachwa na unaweza kumpa akakuacha hivyo ni kumpa tu
Asavali ngoja niangalizie hapa kwako, niwaweke kwenye ignore list njemba zote zilizoninyima
Eti unasemaje? Ungejua vya kuonja vitamu kuliko vilivyoandaliwa mezani...jaribu uone.
Kwani si tunaonjana? manake na wao tunawaonja kama vibamia au laa na pumzi zao zinaruhusu mbio ndefu au fupi...kuonjana ndo habaree...
Ni bora nioe Mwanamke mhuni aliyeonjesha na akaamua kunipenda na kutulia kuliko Mwanamke bikira mwenye ulokole wa kinafiki.
Hawa watu hawatabiriki unaweza kumnyima na ukaachwa na unaweza kumpa akakuacha hivyo ni kumpa tu
Kumekuwa na vilio kutoka kwa mabinti kuwa hawaolewi sasa babu yenu nimewasikiliza sana na kuwaonea huruma. ...dawa ya kupata ndoa Usionjeshee.
Njoo tuonje wote.
Nanaa umeniuwa mbavu dear maana unaweza kuta Mgobole au hamna kabisa au ipo pambo halafu ndoa ikanishinda maana