Mnaoshinda JF bando mnatoa wapi?


sijui kama ni gharama au la maana tunatofautiana vipato but trust me ukitaka kuenjoy internet nunua router au modem tena hakikisha ni ya Voda maana izo zingine utajuta. bando la kutop up kila siku hata ununue MB za elfu 10 hazitoboi siku
 
Nakumbuka zile zama Mkuu, JF Mobile version ilikuwa haipo mpaka utumie PC na bando lilikuwa ni bei ghali 500 MB ilikuwa ni sh 7000.
 
Nakumbuka zile zama Mkuu, JF Mobile version ilikuwa haipo mpaka utumie PC na bando lilikuwa ni bei ghali 500 MB ilikuwa ni sh 7000.
Mkuu mbona bando sasahivi ndio ghali kuliko kitambo hicho.

Ila mleta mada mapambano Yako magumu sana Mungu akufanyie wepesi
Kama mb za jf zinakushinda Sasa wewe ni nini unaweza afford
 
wewe unapimiwa GB duuu inamaana wanakulimiti FUP... hama hukooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…