flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 483
- 474
Habari,
Mara nyingi nimeshuhudia uzushi kwenye comment nyingi zikisema eti wanawake wapo wengi kushinda wanaume.
Ukweli unaotokana na data za dunia ratio ya wanawake na wanaume ni 1:1 ila wanaume wamezidi kdogo sana. Hizo ni data za dunia ila kimataifa yapo mataifa yaliozidi wanawake kuliko wanaume ikiwemo Tanzania.
Wanaume msijidanganye eti wanawake wapo wengi duniani kuzidi sisi.Tz ndo wanawake wametuzidi kidogo ila nenda arabuni hapo uone wanawake walivokua adimu.