kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,300
Aende Labor ajionee kuwa kati ya wanawake 10 wanaoingia kujifungua, watoto 2 tu ndo ME kati ya 10Data tumezipata clinic
Mmhh [emoji124] [emoji124]
Leba ipi mkuu? , hivi unajua probability yakupata mtoto wa kiume ni kubwa kuliko wakike?. tafuta world population By gender afu uje tujadiliAende Labor ajionee kuwa kati ya wanawake 10 wanaoingia kujifungua, watoto 2 tu ndo ME kati ya 10
Nenda kwenye madanguro,kwa mwamposa au tangaza unataka kuoa nyumba za ibada ndio utajua wanavyojitokeza utazani wanaomba usaili TRA ajira.Habari,
Mara nyingi nimeshuhudia uzushi kwenye comment nyingi zikisema eti wanawake wapo wengi kushinda wanaume.
Ukweli unaotokana na data za dunia ratio ya wanawake na wanaume ni 1:1 ila wanaume wamezidi kdogo sana. Hizo ni data za dunia ila kimataifa yapo mataifa yaliozidi wanawake kuliko wanaume ikiwemo Tanzania.
Wanaume msijidanganye eti wanawake wapo wengi duniani kuzidi sisi.Tz ndo wanawake wametuzidi kidogo ila nenda arabuni hapo uone wanawake walivokua adimu.
Wanawake umaskini tu unawasumbua. Embu katika hilo kundi hesabu ambao hawajawahi kukutana na mwanaume kama utapata😂Nenda kwenye madanguro,kwa mwamposa au tangaza unataka kuoa nyumba za ibada ndio utajua wanavyojitokeza utazani wanaomba usaili TRA ajira.
Kwann wanaume mnang'ang'ania kuwa wachache?Jipe moyo dada, utakapo kuja gundua kuwa vidume ni hadimu utapata paka wako wa3 wa kukufariji km wenzako wazungu.
Takwimu tumezitoa China mkuuHabari,