englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Kwani unapomhudumia mpenzi wako unamnunua?
Mbona nyinyi hamtu udumii? Au imeandikwa wapi kua mwanaume ndio atakae udumia ktk penzi? Alafu mna ng'ang'ana na mfumo dume ikiwa wenyewe una wapendeleeni.
uhudumiwe kwani wewe ni handicap....?uuuuurrrrrrggggghhhhhhKwani unapomhudumia mpenzi wako unamnunua?
Disabled!!!!uhudumiwe kwani wewe ni handicap....?uuuuurrrrrrggggghhhhhh
Kwani unapomhudumia mpenzi wako unamnunua?
Ivii mwanamke anaweza songa bila mwanamme?
Disabled or Handicap = 1 ...daaaaarrrrhhhh......!!!!!!!!Disabled!!!!
Hawakumalizia... Real men dont buy girls, they buy sex...
Hongera zake
Disabled or Handicap = 1 ...daaaaarrrrhhhh......!!!!!!!!
inategemea kumhudumia kivip na ni mpenzi wa namna gani? mke/mume or jus boy/girfriend? ila naona wale wanaume wanaohonga sana ili kuwapata wanawake, yaan katika zile harakati za kutongoza hap kanunua yaan kwa mtazamo wangu