Mnaopenda chabo za SMS kwenye simu za watu...dawa yenu hii hapa

BAGAH kuna jamaa alikuwa anasafiri kwenye Kilimanjaro Exp kakaa na kajamaa kamoja...
Akawa akiandika msg kajamaa kanazisoma..jamaa akamind akaamua kubadili msg akaandika
"Aisee nimekaa na lishoga moja hapa linanilembulia na kuniegemeaegea tu ngoja tukifika Moshi ntaenda kulilamba faster"
Lol jamaa si akamind akaja juu eti kwanini kamtukana? Jamaa akamuuliza ye ameonaje wakati simu si yake? Ndo ikawa zogo!
Mwisho wa taarifa...nawasilisha na kupotea!
 
Last edited by a moderator:

e bana alishika pabaya...
alimdaka utamu...na wewe umeanza na kamba kama za fredoo eeh?
 
...e bana kuna watu wadaku!
uko kwenye daladala,au sehemu nyingine unaCHAT.

jirani yako kakomaa...katupia jicho simu yako...kuona msg zinazoingia na kutoka!

kiufupi huwa inaboa na inamnyima mtu uhuru
ni umbea usio na maana!

soma KISA hiki hapa chini,ni kichekesho lakini inaweza kukomesha katabia haka kama vipi unaweza ukaijaribu

"""Mshikaji kakaa kwenye daladala anaandika SMS, huku kashika kibegi chake. Mzee mmoja pembeni si akawa anakomaa kuangalia jamaa anaandika nini! Mshikaji akaamua kubadilia SMS akaanza kuandika: Yule nyoka uliyenipa inaelekea hujamtoa meno ya sumu, hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka, sijui nifanyeje na alivyo mkubwa akitoka ataniletea tabu hadi mimi. Mzee kuona vile akaanza kusogea pembeni! Mshikaji akachukua begi akamrushia! Mzee akaruka dirishani fasta! Nyokaaaaaaaa nakufaaaaaa! Kwenye daladala mwanawane,sio fureshi kukomaa kusoma meseji za watu!"""
Hhahahahahahahhahahahahahhahahahahahahahhahahahaha.....................!!
 
Hahaaahahahaaahaahahaaahaaa.......
Babu lazima alidanja kwa mshtuko huyo..
 
BAGAH kuna jamaa alikuwa anasafiri kwenye Kilimanjaro Exp kakaa na kajamaa kamoja...
Akawa akiandika msg kajamaa kanazisoma..jamaa akamind akaamua kubadili msg akaandika
"Aisee nimekaa na lishoga moja hapa linanilembulia na kuniegemeaegea tu ngoja tukifika Moshi ntaenda kulilamba faster"
Lol jamaa si akamind akaja juu eti kwanini kamtukana? Jamaa akamuuliza ye ameonaje wakati simu si yake? Ndo ikawa zogo!
Mwisho wa taarifa...nawasilisha na kupotea!

hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hiyo ilikua kali kuna mijitu inageuza simu za wenzao kama gazeti vile!
 
Hahahaaaaaa.......!
Wengine hata ukufungua handbag tu mimacho hiyo huwa wanikeraaaa.. Umbeya tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom