Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
Ukingo WA Kwa Bibi........yaani pale kisimani lazima kuwe na mwisho wake Kwa mapana ndio maana tunaita kingoRingi ndo nn boss
Ukingo WA Kwa Bibi........yaani pale kisimani lazima kuwe na mwisho wake Kwa mapana ndio maana tunaita kingoRingi ndo nn boss
Hebu nitajie sifa za mwanamke unayemsema kuwa ana sifa zote.Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
Huwa nawashangaa sana wanawake wanaojinadi mitandaoni Eti nina kila sifa ya kuolewa lakini nashangaa siolewi. Unazijuaje hizo sifa wakati we ni KE na pia mbona huolewi. Wakati hio kauli tu yaweza kua kigezo cha kuto olewa😁. Asiwadanganye mtu eti dada sifa zote unazo. Sifa za kuoa hakuna mwanamke anae zijua ni wanaume pekee ndio huzijua. Nje ya kumuomba Mungu wa kweli utafanya kila kitu bado hutoolewaKuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
Wanaona labda kuwa mrembo au shape au kuikatikia sana ndio sifa za kuolewa🤣🤣🤣Ukitaka kuolewa jiweke Kama MKE,
Uwe na Cha ziada upstairs kuoffer kwny mahusiano ukiondoa hiyo papuchi yako ambayo sio big deal Saana likija suala la top qualities za mwanamke kua MKE bora.
Saivi wanaume ndiyo tunatafutwa dunia imebadilika kwa mfano mimi nishajipata dodido....[emoji38]
kunipata na kuwa na mimi, mwanamke lazima ujipange kabisa yaani ujipange maana ni gentleman niliyekamilika.
Anyway sifa zangu yaani LifeStyle langu.
Everything nimecustomizes:
1. Drink: Moet
2. Ride: Range rover black.
3. Watch: Mounting Black.
4.Shoes: Versace &Gucci.....
5. Bag: Luis Vuitton.
6. Food: KFC's
7. Residential Houses: Complex Appartments located at penisula bay dsm.
8. Vaccay trips: Always Summers.
9. Ever liked Island: Maldives.
Ishu kubwa ni nyota. Mengine yanaongezea tu.Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
Nimesha kuchek PM...😋Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
Sometimes najiuliza ningekuwa mwanaume sijui ningekuwa na haiba ipi? Ningewachukuliaje wanawake?Huwa nawashangaa sana wanawake wanaojinadi mitandaoni Eti nina kila sifa ya kuolewa lakini nashangaa siolewi. Unazijuaje hizo sifa wakati we ni KE na pia mbona huolewi. Wakati hio kauli tu yaweza kua kigezo cha kuto olewa😁. Asiwadanganye mtu eti dada sifa zote unazo. Sifa za kuoa hakuna mwanamke anae zijua ni wanaume pekee ndio huzijua. Nje ya kumuomba Mungu wa kweli utafanya kila kitu bado hutoolewa
Tangaza jimbo kama Bi Khadija Kopa...😊Kuna wadada wametulia....wakitoka kazini ni nyumbani au nyumba za ibada. Lakini cha ajabu wale wanaoshinda club ndio utasikia wanafunga ndoa🤔
Okay mkuu, Dont take it seriously, lakini ni lazima uwe na standards zako ili mwanamke asikuchukulie poa na akija naye ajipange.Hongera kwa hizo ‘standards’ zako ulizojiwekea ila kwa ushauri tu hapo kwenye namba 6. Food, kuandika unapenda KFC nakushauri tu punguza hayo ma ‘Junk food’ kwa afya yako mkuu
Na kwa watu walio elimika ( siyo kwa maana ya shule tu)hizo sehemu ni za watu wa chini na pia wasio na uelewa mpana na mambo ya afya kwa ujumla
Ni ushauri tu hasa kwa upande wa afya
Mtu mshamba uwa hajifichi. Kuna vitu unaona dili kumbe ni ushamba tena ushamba wa wale waliovamia mji kwa pupa.Saivi wanaume ndiyo tunatafutwa dunia imebadilika kwa mfano mimi nishajipata dodido....😆
kunipata na kuwa na mimi, mwanamke lazima ujipange kabisa yaani ujipange maana ni gentleman niliyekamilika.
Anyway sifa zangu yaani LifeStyle langu.
Everything nimecustomizes:
1. Drink: Moet
2. Ride: Range rover black.
3. Watch: Mounting Black.
4.Shoes: Versace &Gucci.....
5. Bag: Luis Vuitton.
6. Food: KFC's
7. Residential Houses: Complex Appartments located at penisula bay dsm.
8. Vaccay trips: Always Summers.
9. Ever liked Island: Maldives.
toa 0715Kuna wadada na wamama wengi wanakesha wakiomba na wengine kwa waganga ili wapate wanaume wa kuwaoa, lakini hali ni tofauti. Na utakuta na wana kila sifa.
Hivi wale mnaopata huwa mnafanyaje? Siri ni nini?
jamaa lishamba lenyewe linajiona lijanja,Hongera kwa hizo ‘standards’ zako ulizojiwekea ila kwa ushauri tu hapo kwenye namba 6. Food, kuandika unapenda KFC nakushauri tu punguza hayo ma ‘Junk food’ kwa afya yako mkuu
Na kwa watu walio elimika ( siyo kwa maana ya shule tu)hizo sehemu ni za watu wa chini na pia wasio na uelewa mpana na mambo ya afya kwa ujumla
Ni ushauri tu hasa kwa upande wa afya
Kama wewe ni born town kaka its Okay.Mtu mshamba uwa hajifichi. Kuna vitu unaona dili kumbe ni ushamba tena ushamba wa wale waliovamia mji kwa pupa.
Maneno ya wakosaji.jamaa lishamba lenyewe linajiona lijanja,
1. Tabia haitengenezwi nyumba ya ibada. (baadhi baada ya kuharibu/kutoa mimba za kutosha wanakimbilia huko ili waonekane wema-kuwapata wasiowajua background zao).Kuna wadada wametulia....wakitoka kazini ni nyumbani au nyumba za ibada. Lakini cha ajabu wale wanaoshinda club ndio utasikia wanafunga ndoa🤔