Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,637
- 2,459
Ndugu zangu mnangoja matokeo ya rufaa vipi uko akaunti zenu zinaujumbe UPI adi mda huu mana Siku imeisha hii sijaona mrejesho wowote kwa upande wa akaunti yangu.
Sidhani mana watakuwa kwa mkesha ucku awatofanyabkazinaona hivyo hivyo tu. lakini siku inaisha saa 6 usiku labda wataweka
DAH POLE SANA MKUU"Your appeal was not successful.You are advised to re-apply for loan when window is re-opened for 2021/2022 cycle "...mwisho wa kunukuu.