BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Nakubaliana nawe Mkuu Elly B, hiki chama cha wahuni, majangili, magaidi, wauza unga na mafisadi kinaweweseka kupita kiasi na sasa kimeamua kufanya uharamia nje nje bila hata woga au aibu. Kesho inasemekana uhuni na uharamia wao watakaoufanya kwenye BMK wameamua ufanyike nyuma ya pazia na kuwapa uhuru TBC wa kuedit kila kitu wasichokitaka na kuedit huku kutafanywa chini ya uangalizi wa hawa maharamia wa MACCM halafu usiku wa saa nne ndio kile watakachoruhusu ndio kionyeshwe kwa Watanzania ili kutuzuga. Dr Lipumba hakukosea kabisa alipowaita Maintaharamwe.
Tatizo watu mnajaribu kusahau haswa mnayemzungumzia ni nani. Issue siyo Wassira hasa ni chama kinachompa nafasi. Na tatizo la CCM kwa sasa ni kuwa chama kimechafuka sana kiasi kwamba waliobakia aidha wana kashfa chafu kuliko yeye au wamechoka kutetea uchafu mpaka jamii imewazoea hivyo.
Kwa hiyo tukitafsiri hali hiyo kwa sauti, ni kuwa CCM iko desperate kiasi hicho. Na kama hamna habari in desperate times mtu can do anything including kuwaachia watu wasiojua hata wao ni kina nani kuwa wasemaji wao katika midahalo na mihadhara!
Last edited by a moderator: