Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi
 
Mimi nadhani Mzee wetu Wasira angepumzika siasa
 
Ufisadi alianza zamani huyu mzee, alipokuwa katibu wa CCM Geita aliwahi kuiba Tairi ya Land Rover! alijitetea kuwa alikuwa anatafuta fedha za kampeni! Mzee Budodi et al walimpotezea... CCM ya sasa wanamg'ang'ania kwakuwa anaendesha harakati nyingi akishirikiana na Nchemba, Igondou, Zitto, Kitila, Mwigamba et al kuihujumu CHADEMA...
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati take IPO juu aliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa name amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi
 
Tatizo watu mnajaribu kusahau haswa mnayemzungumzia ni nani. Issue siyo Wassira hasa ni chama kinachompa nafasi. Na tatizo la CCM kwa sasa ni kuwa chama kimechafuka sana kiasi kwamba waliobakia aidha wana kashfa chafu kuliko yeye au wamechoka kutetea uchafu mpaka jamii imewazoea hivyo.

Kwa hiyo tukitafsiri hali hiyo kwa sauti, ni kuwa CCM iko desperate kiasi hicho. Na kama hamna habari in desperate times mtu can do anything including kuwaachia watu wasiojua hata wao ni kina nani kuwa wasemaji wao katika midahalo na mihadhara!
 
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi

Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.
 
Tatizo watu mnajaribu kusahau haswa mnayemzungumzia ni nani. Issue siyo Wassira hasa ni chama kinachompa nafasi. Na tatizo la CCM kwa sasa ni kuwa chama kimecahfuka sana kiasi kwamba waliobakia aidha wana kashfa chafu kuliko yeye au wamechoka kutetea uchafu mpaka jamii imewazoea hivyo.

Kwa hiyo tukitafsiri hali hiyo kwa sauti, ni kuwa CCM iko desperate kiasi hicho. Na kama hamna habari in desperate times mtu can do anything kuwaachia watu wasiojua hata wao ni kina nani kuwa wasemaji wao katika midahalo na mihadhara!

Wasira hana usafi wowote mkuu, namsubiri wamlete hadhari alafu nijitoe muhanga kumuuliza usoni mwake ushiriki wake wa kula pesa za economic stimulus kupitia kampuni ya hawara wake Gati Insurance Brokers.

Huyu mtu ni fisadi papa kama wengine ndani ya CCM.
 
Liwalo na liwe.
Ufisadi ndio dili tu, ndani ya chama kile, kuna wasafi wachache like Sumaye, Magufuli, Six na Mwakyembe tu.
Hao wengine wote amanzi ge nyanza.
 
Orodhesha Ufisadi wake tuujue.
Wassira anawapasua vichwa kila kukicha, na mwakani mtapoteana atakapokuwa anapeperusha Bendera ya CCM.
 
Liwalo na liwe.
Ufisadi ndio dili tu, ndani ya chama kile, kuna wasafi wachache like Sumaye, Magufuli, Six na Mwakyembe tu.
Hao wengine wote amanzi ge nyanza.
We mzanaki Kumbuka Wassira ni msizaki halafu alikuwa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere huyo ndiye wakupewa nchi.
 
Ufisadi alianza zamani huyu mzee, alipokuwa katibu wa CCM Geita aliwahi kuiba Tairi ya Land Rover! alijitetea kuwa alikuwa anatafuta fedha za kampeni! Mzee Budodi et al walimpotezea... CCM ya sasa wanamg'ang'ania kwakuwa anaendesha harakati nyingi akishirikiana na Nchemba, Igondou, Zitto, Kitila, Mwigamba et al kuihujumu CHADEMA...
Katibu wa CCM Geita?! What year was that? Matter of fact, late 70s Wassira ashakuwa katibu wa CCM mkoa wa mara, miaka Budodi aliyokuwa mwenyekiti wa mkoa Mwanza na Geita ikiwa bado wilaya. I am not attempting to exonerate him though.
 
Ufisadi alianza zamani huyu mzee, alipokuwa katibu wa CCM Geita aliwahi kuiba Tairi ya Land Rover! alijitetea kuwa alikuwa anatafuta fedha za kampeni! Mzee Budodi et al walimpotezea... CCM ya sasa wanamg'ang'ania kwakuwa anaendesha harakati nyingi akishirikiana na Nchemba, Igondou, Zitto, Kitila, Mwigamba et al kuihujumu CHADEMA...

Utasema mengi lakini Wassira atabaki kuwa Innocent, upepo wake unavuma vizuri na watanzania wanamuelewa, ukimchafua anazidi kusifika, ukimtukana anazidi kujulikana,
Tyson ni sawa na gogo la udi ukilichoma Ndio linazidi kunukia.
 
Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.

Raisi wa mafisadi???? Yani ukiona mtu kakazana kutokwa na povu kutetea ccm ujue ni litoto la mafisadi, mwaka huu lazima mfe kwa presha na utapiamlo
 
Huyu FISADI PAPA,MWANAMTANDAO,MHAINI,MSALITI,MLA RUSHWA na MROHO WA MADARAKA Ipo SIKU YAKE TUTAMFUMUA KILA KITU,SUBIRI!
 
Wasira hana usafi wowote mkuu, namsubiri wamlete hadhari alafu nijitoe muhanga kumuuliza usoni mwake ushiriki wake wa kula pesa za economic stimulus kupitia kampuni ya hawara wake Gati Insurance Brokers.

Huyu mtu ni fisadi papa kama wengine ndani ya CCM.

Yes. Ila ana sifa ya ziada. Wakati mafisadi wenzie wanaona hata aibu kujieleza, yeye mshipa wa aibu umekatika na anajiongelea tu kama "hamnazo" flani
 
Naombeni mnitajie mtu msafi kuliko wote CCM

Hakuna! Kwa sababu hata kama kuna ambao hawajafanya uchafu, bado ile kuwa tu wanasapoti huo uchafu, au wanaushabikia au wameshindwa tu kuukemea hiyo kisheria ni kushiriki matendo machafu.
 
Mimi nadhani Mzee wetu Wasira angepumzika siasa

wassira hana sifa za ugombea alisha onesha utovu wa nidhamu tangu enzi za nyerere hadi akafukuzwa kwenye chama akakimblilia nccr nashangaa kuona ccm wanataka kumtakasa wakati kesha kuwa mavi tayari na hatakasiki.
 
Back
Top Bottom