Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

Mnaomtanguliza Wassira mnayajua haya?

prof mark mwandosya,dr harrison mwakyembe,prof anna tibaijuka,january makamba,james lembeli,filikunjombe,nape mnauye,philip mangula n.k list ni ndefu.sasa kwa upande wako tutajie mtu safi chadema

Nina doubt watu wako

Wote wasafi
 
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi

Tunaelewa sana tena sana. Kifupi hiki chama ni chetu, ulishaambiwa ina wenyewe na wenyewe ndio sisi, na nji hii ni yetu, sisi nidio tunaotawala kwa kutumia chama chetu dola, kanuni tunazibadili kila leo wala hakuna cha katiba wala mama yake na katiba, tunafanya tutakalo, sida ipo wapi babangu? Tukitaka wasira awe rahisi ni dakika tu, wananchi wampende wasimpende, sisi wenye nnji tutampitisha, siuliona kale ka dokta kativyo lizwa?
 
Nchi hii kweli tumefilisika kisiasa!Hivi kweli Wassira ni mtu wa kuzungumziwa kuichukua ofisi kuu ya nchi hii? Kweli Tanzania urais umekuwa rahisi sana kwa kila mtu.
 
Katika mambo ya kushangaza ccm imekuwa ikimtumia sana Mh Wassira katika mijadala mbalimbali na kuthibitisha chati yake IPO juu agliongoza kwa kura aliposhinda ujumbe was halmashauri kuu ccm taifa na amekuwa akitajwa ktk wanaokitamani kiti cha enzi lakini with wanasahau huyu jamaa alishapatikana na hatia ya rushwa na kuvuliwa ubunge was bunda alipokuwa nccr mageuzi

Ccm wanajua hilo tatizo sana tuu.ndio maana kwenye katiba mpya wamekata uwepo wa uwazi na uadilifu ..kwani kwa uwepo wa uadilifu .itabidi mgombea uongozi wowote .kitaifa akaguliwe uadilifu wake .
 
Hivi katika midahalo kwa upande wa chadema ,kuna mtu mwingine anashiriki zaidi ya tundu lissu ? tutumie akili zetu vizuri hizo double standard za kuangalia upande mmoja zinatufanya tuwe vipofu

Sio swala la Tundu Lissu au mwingine kuongea. Napenda nwahakikishie hata wakiamua wamteue yeyote bado kuna watu wengi wanaoweza kuzungumza kwa sababu uwezo wa kujenga hoja wanao na jamii haina sababu ya kuwanyooshea vidole. Sidhani kama kuna haja ya kufafanua hilo
 
Nchi hii kweli tumefilisika kisiasa!Hivi kweli Wassira ni mtu wa kuzungumziwa kuichukua ofisi kuu ya nchi hii? Kweli Tanzania urais umekuwa rahisi sana kwa kila mtu.
Unaonekana unaumia sana ukisikia jina la Wassira liko juu kama Mlima Kilimanjaro, lakini ndiyo hivyo tena, kwakuwa Watanzania wanampenda na wanamwamini, na kwakuwa yeye ana uwezo na Afya njema ya kuwatumikia watu kwahiyo haizuiliki.

Wapo waliomkebehi JK lakini leo wameufyata na yeye huyooo amebakiza miezi amalize ukubwa wake afuate Wassira, roho itakuuma mpaka mwisho wa dunia na wewe utaishia kuvuna maumivu na chemba moyo.

Relax Wassira is your next President.
 
niko sekondari wassira ni waziri mdogo kilimo pale pamba house mwaka 1971. Nimesitaafu jamaa bado anapiga mzigo kweli jamaa ni kiboko. Hivi ccm hakuna watu wengine kila mahali yeye tu
Alicho kipanga Mungu binadamu hawezi pangua.
 
Mbona unaweweseka sana ukianza kuwaza jina la Wassira? Tulia kijana huyo ndiye Rais wetu 2015, Tuhuma za rushwa ilikuwa giriba za Warioba na influence yake ya ujudge, lakini Wassira ameendelea kuwa chuma cha Pua.

Kama mpunbavu kama wasira ndio chuma kwa ccm basi kifo cha ccm hakiepukiki
 
Wanayajua yote lakini hawana jinsi maana ndio pekee ambaye anauwezo wa kuweka pamba masikioni muda wote yule ni tyson /brudoza. Japo atawaingiza shimoni na kauli zake za kejeli kwa watu wenye asira . Watanzania tunashida yeye anachenza ndombolo ya solo jambo baya sana . Watu wanahali ngumu hawajua hatima ya kesho yeye anafanya mzaha !!!! I dont like him.
 
Gati Insurance ni ya mke wake (bi mdogo) aitwaye Florence. Labda alikuwa hawara siku wanakula hizo.


Wasira hana usafi wowote mkuu, namsubiri wamlete hadhari alafu nijitoe muhanga kumuuliza usoni mwake ushiriki wake wa kula pesa za economic stimulus kupitia kampuni ya hawara wake Gati Insurance Brokers.

Huyu mtu ni fisadi papa kama wengine ndani ya CCM.
 
Unaonekana unaumia sana ukisikia jina la Wassira liko juu kama Mlima Kilimanjaro, lakini ndiyo hivyo tena, kwakuwa Watanzania wanampenda na wanamwamini, na kwakuwa yeye ana uwezo na Afya njema ya kuwatumikia watu kwahiyo haizuiliki.

Wapo waliomkebehi JK lakini leo wameufyata na yeye huyooo amebakiza miezi amalize ukubwa wake afuate Wassira, roho itakuuma mpaka mwisho wa dunia na wewe utaishia kuvuna maumivu na chemba moyo.

Relax Wassira is your next President.

Inaonekana huyu bwana Wassira unamjua kiundani sana!
 
Katibu wa CCM Geita?! What year was that? Matter of fact, late 70s Wassira ashakuwa katibu wa CCM mkoa wa mara, miaka Budodi aliyokuwa mwenyekiti wa mkoa Mwanza na Geita ikiwa bado wilaya. I am not attempting to exonerate him though.
Huyo labda alikuwa kaka yake mkubwa, George Wassira, si huyu aliyepatikana na hatia ya kutoa rushwa, akafungiwa kugombea Ubunge hadi aliporudi kundini kwa walafi na wala rushwa wenzake!
 
prof mark mwandosya,dr harrison mwakyembe,prof anna tibaijuka,january makamba,james lembeli,filikunjombe,nape mnauye,philip mangula n.k list ni ndefu.sasa kwa upande wako tutajie mtu safi chadema

we mwanamke hufai
 
Back
Top Bottom